
Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça o login para curtir, compartilhar e comentar!
-
JE MTU ALIYEOKOKA ANAWEZA AKAVAMIWA NA ROHO ZA GIZA ?1. Je, anaweza kuwa chini ya vifungo, wakati Yesu alimaliza yote Msalabani? Ndugu mpendwa unayefuatilia mafundisho haya, kila mahali ambako Mungu amenipa neema ya kufundisha masomo haya ya ukombozi nimekuwa nikiulizwa hili swali.na inawezekana hata wewe unashauku ya kujua mengi kuhusiana na hili, Mpendwa unayefuatilia mafundisho haya, ni kweli kabisa kuwa hata mtu aliyeokoka anaweza...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
Je! Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi?SWALI : Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi? JIBU: Tukisoma; Mathayo 12:25-32 ” Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama. 26 Na Shetani akimtoa Shetani,...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya Kweli kama alivyo ahidiwa na Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu. Mara nyingi Waislam wanauliza, "Roho ya Kweli ni nani ambaye Yesu alimuhadi katika Yohana 16 aya ya 12 mpaka 14. Nimekuwa nikiwauliza Waislam, hivi wao wanafikiri huyu Roho wa Kweli ni nani? Na wakanijibu kuwa huyo Roho wa Kweli...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
JIFUNZE KUENENDA KWA ROHO ILI USIMHUZUNISHE ROHO MTAKATIFUShalom, hakuna namna mwamini anaweza kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani bila kuenenda au kuongozwa na Roho Mtakatifu kwani yeye ndiye aliyepewa jukumu la kutufundisha na kutuonyesha njia itupasayo kuiendea. Hivyo basi suala la kujifunza kuenenda kwa Roho ni la LAZIMA kwa kila mwamini ili aishi maisha aliyokusudiwa awapo duaniani na kuepuka matokeo ya kumhuzunisha Roho...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior
-
JINSI YA KUENENDA KWA ROHO.Wagalatia 5:16 “Basi, nasema enendeni kwa Roho, wala hamtatimiza kamwe tamaa za mwili”Hapa tunaona Paulo anawaagiza wagalatia kwamba waenende kwa Roho na lengo kubwa ni ili wasizitimize tama za mwili. Lengo la waraka huu mfupi ni kukueleza namna unavyoweza kuenenda kwa Roho, na hii ni kwa sababu Yesu mwenyewe alisema ni heri mimi niondokeili aje mwingine...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa Roho Mtakatifu? Wasaidie ili wapate ujasiri wa kuwaombea watu wangu ili wapokee Roho Mtakatifu hii ni zawadi ya hali ya juu niliyowaahidia watu wangu lakini inakuwa kama Historia unadhani ni kwa nini? Kamote! Ahaa ni kwa sababu wengi wanajifikiri kuwa kuna watu maalumu sana wanaopaswa kufanya maombezi...0 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior
-
JINSI YA KUTOFAUTISHA ROHO WA MUNGU NA ROHO WA SHETANIJE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA MUNGU? JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA SHETANI ? JE UNAJUA YUPO ROHO MSAIDIZI WA SHETANI? YUKOJE? BWANA YESU ASIFIWE, watu wote wa mataifa yote ambao mmeumbwa na MUNGU na ambaye ndiye BABA yake YESU, na kwa dini nyingine wanamwita yeye ni Nabii Issa, kipindi hiki amekaribia kurudi kwa ajili ya unyakuo. Ukisoma katika kitabu cha Yohana...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Comentários 0 Compartilhamentos 9KB Visualizações 0 Anterior
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Comentários 0 Compartilhamentos 4KB Visualizações 0 Anterior
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
Páginas impulsionada
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].