
Suche
Entdecken Sie neue Leute, knüpfen Sie neue Kontakte und schließen Sie neue Freundschaften
-
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren!
-
JE MTU ALIYEOKOKA ANAWEZA AKAVAMIWA NA ROHO ZA GIZA ?1. Je, anaweza kuwa chini ya vifungo, wakati Yesu alimaliza yote Msalabani? Ndugu mpendwa unayefuatilia mafundisho haya, kila mahali ambako Mungu amenipa neema ya kufundisha masomo haya ya ukombozi nimekuwa nikiulizwa hili swali.na inawezekana hata wewe unashauku ya kujua mengi kuhusiana na hili, Mpendwa unayefuatilia mafundisho haya, ni kweli kabisa kuwa hata mtu aliyeokoka anaweza...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
Je! Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi?SWALI : Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi? JIBU: Tukisoma; Mathayo 12:25-32 ” Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama. 26 Na Shetani akimtoa Shetani,...0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya Kweli kama alivyo ahidiwa na Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu. Mara nyingi Waislam wanauliza, "Roho ya Kweli ni nani ambaye Yesu alimuhadi katika Yohana 16 aya ya 12 mpaka 14. Nimekuwa nikiwauliza Waislam, hivi wao wanafikiri huyu Roho wa Kweli ni nani? Na wakanijibu kuwa huyo Roho wa Kweli...0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
GOSPEL PREACHER2021-11-23 12:54:38 - Übersetzen -JIFUNZE KUENENDA KWA ROHO ILI USIMHUZUNISHE ROHO MTAKATIFUShalom, hakuna namna mwamini anaweza kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani bila kuenenda au kuongozwa na Roho Mtakatifu kwani yeye ndiye aliyepewa jukumu la kutufundisha na kutuonyesha njia itupasayo kuiendea. Hivyo basi suala la kujifunza kuenenda kwa Roho ni la LAZIMA kwa kila mwamini ili aishi maisha aliyokusudiwa awapo duaniani na kuepuka matokeo ya kumhuzunisha Roho...0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
GOSPEL PREACHER2021-11-23 13:00:32 - Übersetzen -JINSI YA KUENENDA KWA ROHO.Wagalatia 5:16 “Basi, nasema enendeni kwa Roho, wala hamtatimiza kamwe tamaa za mwili”Hapa tunaona Paulo anawaagiza wagalatia kwamba waenende kwa Roho na lengo kubwa ni ili wasizitimize tama za mwili. Lengo la waraka huu mfupi ni kukueleza namna unavyoweza kuenenda kwa Roho, na hii ni kwa sababu Yesu mwenyewe alisema ni heri mimi niondokeili aje mwingine...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
GOSPEL PREACHER2022-04-01 15:48:30 - Übersetzen -Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa Roho Mtakatifu? Wasaidie ili wapate ujasiri wa kuwaombea watu wangu ili wapokee Roho Mtakatifu hii ni zawadi ya hali ya juu niliyowaahidia watu wangu lakini inakuwa kama Historia unadhani ni kwa nini? Kamote! Ahaa ni kwa sababu wengi wanajifikiri kuwa kuna watu maalumu sana wanaopaswa kufanya maombezi...0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
GOSPEL PREACHER2021-11-19 05:39:09 - Übersetzen -JINSI YA KUTOFAUTISHA ROHO WA MUNGU NA ROHO WA SHETANIJE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA MUNGU? JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA SHETANI ? JE UNAJUA YUPO ROHO MSAIDIZI WA SHETANI? YUKOJE? BWANA YESU ASIFIWE, watu wote wa mataifa yote ambao mmeumbwa na MUNGU na ambaye ndiye BABA yake YESU, na kwa dini nyingine wanamwita yeye ni Nabii Issa, kipindi hiki amekaribia kurudi kwa ajili ya unyakuo. Ukisoma katika kitabu cha Yohana...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Kommentare 0 Geteilt 9KB Ansichten 0 Bewertungen
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Kommentare 0 Geteilt 4KB Ansichten 0 Bewertungen
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
Weitere Ergebnisse
Gesponsert
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].