0 Reacties
0 aandelen
7K Views
0 voorbeeld
Zoeken
Ontdek nieuwe mensen, nieuwe verbindingen te maken en nieuwe vrienden maken
-
Please log in to like, share and comment!
-
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya Kweli kama alivyo ahidiwa na Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu. Mara nyingi Waislam wanauliza, "Roho ya Kweli ni nani ambaye Yesu alimuhadi katika Yohana 16 aya ya 12 mpaka 14. Nimekuwa nikiwauliza Waislam, hivi wao wanafikiri huyu Roho wa Kweli ni nani? Na wakanijibu kuwa huyo Roho wa Kweli...0 Reacties 0 aandelen 6K Views 0 voorbeeld
-
Kweli 100 Kuhusu Yesu1. Yesu alidai kuwa Mungu, (Yohana 8:24, 8: 56-59 (angalia Kutoka 3:14), Yohana 10: 30-33) 2. Yesu anaitwa Mungu, (Yohana 1: 1, 14; 20:28; Kol 2: 9, Tito 2:13; Ebr 1: 8.) 3. Yesu ni mfano wa Mungu asiyeonekana, (Ebr 1: 3.) 4. Yesu anaishi milele, (Ebr. 7:24) 5. Yesu aliumba vitu vyote, (Yohana 1: 1-3; Kol 1: 15-17) 6. Yesu kabla ya vitu vyote, (Yohana 1: 1-3; Kol 1:17) 7. Yesu ni wa milele,...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
Mitume Wote Waliopita Walikuwa Ni Watu Weupe Hata Manabii Wote Waliopita Hadi Ma-Papa Ni Ngozi Nyeupe. Ni Kweli Ngozi Nyeusi Ililaaniwa ?JIBU: Hakuna ngozi yoyote iliyolaaniwa, watu wote kwa Mungu ni sawa, Mungu hana upendeleo kwa jamii fulani ya watu, Pia ni muhimu kufahamu utendaji kazi wa Mungu katikati ya wanadamu tangu kuumbwa kwao, Mungu alimchagua Ibrahimu na kumbariki yeye na uzao wake, kuanzia hapo Bwana Mungu aliliteua taifa moja pekee ambalo atashughulika nalo katika mpango wake wa wokovu kwa wanadamu (yaani...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Reacties 0 aandelen 1K Views 0 voorbeeld
-
NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYE MTUMANdugu wasomaji, Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza? Ili uielewe Biblia vizuri,...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
YESU NDIE NJIA NA KWELI NA UZIMA. Kumbe Dini sio NjiaKatika Biblia tunasoma kuwa Yesu anasema yeye ndie "KWELI" na anaendelea kusema kuwa KWELI ndiyo itakuweka HURU. Hebu rejea kwenye hii aya: Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.Kufuatana na aya hapo juu, Mtu yeyote yule hawezi kwenda kwa Baba na/au Mbiguni bila ya kupitia "KWELI" ambayo ni YESU. Kumbe basi...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
ZIJARIBU HIZO ROHO! JE NI ROHO ZA MUNGU WA KWELI AU ZA mungu WA UONGO?BWANA YESU ASIFIWE, YESU wa Nazareti aliye hai. 1 Yohana 4: 1-3 “ 1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na MUNGU; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 2 Katika hili mwamjua Roho wa MUNGU; kila roho ikiriyo kwamba YESU KRISTO amekuja katika mwili yatokana na MUNGU. 3 Na kila roho isiyomkiri YESU haitokani...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Reacties 0 aandelen 10K Views 0 voorbeeld
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Reacties 0 aandelen 6K Views 0 voorbeeld
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Reacties 0 aandelen 7K Views 0 voorbeeld
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI
Zoekresultaten
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].