• MR AND MRS PASTOR DADDY FROM MOUNT CARMEL REVELATION CHURCH INTERNATIONAL AT MACHIMBO,TEMEKE DAR ES SALAAM.
    TUJITAHIDI KUWEKEZA KWA MUNGU WA MBINGUNI ALIYETULETEA UKOMBOZI KUPITIA YESU KWA KUFANYA MAPENZI YAKE ILI TUDUMU MILELE PAMOJA NA YEYE KUPITIA KRISTO YESU.
    MR AND MRS PASTOR DADDY FROM MOUNT CARMEL REVELATION CHURCH INTERNATIONAL AT MACHIMBO,TEMEKE DAR ES SALAAM. TUJITAHIDI KUWEKEZA KWA MUNGU WA MBINGUNI ALIYETULETEA UKOMBOZI KUPITIA YESU KWA KUFANYA MAPENZI YAKE ILI TUDUMU MILELE PAMOJA NA YEYE KUPITIA KRISTO YESU.
    Love
    2
    0 Commentaires 0 Parts 898 Vue 0 Aperçu
  • Ahsante MUNGU WA mbinguni mwaka wa kwanza tumefikisha tokea safari yetu ilipoanza tarehe 11 mwenz wa 12
    Ahsante sana BWANA YESU WANGU.
    Ahsante MUNGU WA mbinguni mwaka wa kwanza tumefikisha tokea safari yetu ilipoanza tarehe 11 mwenz wa 12 Ahsante sana BWANA YESU WANGU.
    Love
    Like
    3
    1 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 87 0 Aperçu
  • Mchezo ni mtego mkubwa wa shetani na sasa wameingia Hadi watumishi wa Mungu,mbaya zaidi makanisa sasa Yana timu za Moira wakasahau Andiko hili la warumi 12:1-3 "...msienende kwa jinsi ya Ulimwengu huu..."
    Mchezo ni mtego mkubwa wa shetani na sasa wameingia Hadi watumishi wa Mungu,mbaya zaidi makanisa sasa Yana timu za Moira wakasahau Andiko hili la warumi 12:1-3 "...msienende kwa jinsi ya Ulimwengu huu..."
    KUWA SHABIKI WA MPIRA NI KUMWABUDU SHETANI, JIEPUSHE NA HILI.

    https://m.youtube.com/watch?v=OC9WR7YtqUE
    0 Commentaires 0 Parts 689 Vue 0 Aperçu
  • YAFAA ZAIDI KUYAFAHAMU HAYA, NI SOMO AMBALO LINAPATIKANA YOU TUBE YA @Baraka Vedastus likizungumza KWANINI WANAWAKE WENGI WAMEFUNGWA NA NGUVU ZA GIZA KULIKO WANAUME? na hii ni sehemu katika sehemu ya pili ya somo.
    Asomaye na Afahamu.
    YAFAA ZAIDI KUYAFAHAMU HAYA, NI SOMO AMBALO LINAPATIKANA YOU TUBE YA @Baraka Vedastus likizungumza KWANINI WANAWAKE WENGI WAMEFUNGWA NA NGUVU ZA GIZA KULIKO WANAUME? na hii ni sehemu katika sehemu ya pili ya somo. Asomaye na Afahamu.
    Like
    1
    1 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 148 0 Aperçu
  • MAKUHANI WA KIFALME MILKI YA MUNGU NAWAOMBENI MAJIBU YA SWALI LANGU,,,,,,,,
    KWANINI WOKOVU NI MGUMU INGAWA WENGI WANAONA KAWAIDA KUWA NA WOKOVU???
    MAKUHANI WA KIFALME MILKI YA MUNGU NAWAOMBENI MAJIBU YA SWALI LANGU,,,,,,,, KWANINI WOKOVU NI MGUMU INGAWA WENGI WANAONA KAWAIDA KUWA NA WOKOVU???
    Love
    Like
    3
    2 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
  • Ambacho natambua kanisa lipo kwa ajiri ya tiba ya Roho na hospital kwa ajiri ya magonjwa ya mwilli,tukitambua hivyo hatutakuja kuwa wazembe kupata matibabu ya Roho zetu kama tunavyoishughilikia miili yetu mahospitali kupata tiba
    Ambacho natambua kanisa lipo kwa ajiri ya tiba ya Roho na hospital kwa ajiri ya magonjwa ya mwilli,tukitambua hivyo hatutakuja kuwa wazembe kupata matibabu ya Roho zetu kama tunavyoishughilikia miili yetu mahospitali kupata tiba❤️ 💞 💞
    Like
    Love
    2
    3 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
  • Tazama ilivyo vyema ndugu wakae pamoja kwa umoja,ni familia inayojibidiisha kupata uzima wa milele kwa njia ya YESU KRISTO..Ukitupenda sote ni vyema zaidi.
    Maana ni kwa faida Yako.MUNGU HANA HASARA KWA MAANA AMEJITOSHELEZA.
    Tazama ilivyo vyema ndugu wakae pamoja kwa umoja,ni familia inayojibidiisha kupata uzima wa milele kwa njia ya YESU KRISTO..Ukitupenda sote ni vyema zaidi. Maana ni kwa faida Yako.MUNGU HANA HASARA KWA MAANA AMEJITOSHELEZA.
    Love
    2
    0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
  • Maisha ya kushindana yanaharibu UWEPO WA MUNGU JAMAN SASA IKIWA MUNGU WETU HASHINDANI NA ALIYETAKA KUMPINDUA HUKO MBINGUNI NA AKAMWACHA HAPA DUNIANI,TULIOMPOKEA YESU INAKUWAJE SASA TENA SISI KWA SISI
    Maisha ya kushindana yanaharibu UWEPO WA MUNGU JAMAN SASA IKIWA MUNGU WETU HASHINDANI NA ALIYETAKA KUMPINDUA HUKO MBINGUNI NA AKAMWACHA HAPA DUNIANI,TULIOMPOKEA YESU INAKUWAJE SASA TENA SISI KWA SISI
    Love
    2
    4 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
  • Acha magugu na ngano vikue pamoja,wacha nitafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote maana hakuna atakae Muona MUNGU pasipokuwa na UTAKATIFU WA KULIISHIA NENO LA BWANA NA WALA SIO KULISIKILIZA PASIPO MATUNDA YA KULIFANYA LIWE MAISHA YAKO NENO LA MUNGU...
    Acha magugu na ngano vikue pamoja,wacha nitafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote maana hakuna atakae Muona MUNGU pasipokuwa na UTAKATIFU WA KULIISHIA NENO LA BWANA NA WALA SIO KULISIKILIZA PASIPO MATUNDA YA KULIFANYA LIWE MAISHA YAKO NENO LA MUNGU...
    Like
    Love
    2
    0 Commentaires 0 Parts 3KB Vue 0 Aperçu
Commandité
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].