0 Comentários
0 Compartilhamentos
7KB Visualizações
0 Anterior
Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça o login para curtir, compartilhar e comentar!
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-22 06:22:50 - Traduzir -ASILI MBILI ZA YESU KRISTOTokea Dunia ianze, hapajawai toke Mtu yeyote alieishi kama Yesu Kristo. Yesu ni mtu wa maana sana ambaye ni Mwokozi, Mungu katika Mwili “Emanueli” (Isaya 9:6). Yesu sio Nusu Mungu na Nusu Binadamu kama watu na au imani nyingi zinavyo sema. Yesu yeye ni Mungu na ni Binadamu kwa wakati mmoja. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asilia Mbili tofauti ambazo ni Mungu na Binadamu kwa...0 Comentários 0 Compartilhamentos 8KB Visualizações 0 Anterior
-
CHAKULA CHA YESU KRISTONeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SIKU YA KUICHAMBUA BIBLIA SOMO: CHAKULA CHA YESU KRISTO L eo tena, tunazidi kusonga mbele...0 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior
-
ETI, YESU ALIPOKUWA AMEKUFA DUNIA ILIKUWA INAENDESHWA NA NANI?Hili ndilo swali la wafuasi wa Muhammad kwa Wakristo na leo nitalijibu hapa. Hili ni swali linalofaa kuulizwa juu ya kiumbe. Kama tungesema kuwa mwanadamu fulani alikuwa amekufa, ndipo kuna mantiki kuuliza kwamba, wakati amekufa nani alikuwa anatunza familia yake? Maana hili ni swali linalohusu tabia za kibinadamu kwa kuwa mwanadamu hawezi kuwa mahali kuwili au zaidi kwa pamoja. MUNGU SI...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
HAYA NDIYO MADHARA YA KUABUDU PICHA ZA WATU WALIOIGIZA SINEMA ZA YESU!BWANA YESU ASIFIWE watu wote wa mataifa yote, YESU anawapenda na pia MUNGU anawapenda na ROHO MTAKATIFU anawapenda vile vile na leo amenituma niwaletee habari njema za uponyaji wa roho na mwili ili miili isike ikaangamia na roho kuhukumiwa siku ile ya hukumu. Napenda kuwashukuru watu wote ambao waliamua kufundisha kuhusu maisha ya YESU kwa njia ya sinema, walifanya vizuri wameelimisha watu...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
ISA WA QURAN SIO YESU WA BIBLIANdugu msomaji, Zifuatazo ni thibitisho kadhaa zitakazo fundisha kuwa, Isa wa Quran na Yesu wa Biblia ni wawili na tofauti: UTHIBITISHO WA 1 MAANA YA JINA ISA Ni jambo la kawaida sana jina au majina kuwa na maana. Mfano majina haya ya kiarabu yana maana hizi: Muhammad, linamaanisha mwenye kushukuriwa, Abdalla ni Mtumwa wa Allah; Abu-Bakar maana yake ni Baba wa bikira; Abu...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-24 04:11:03 - Traduzir -Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu?Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu? Je Mungu atawahukumu wale ambao hajawai sikia kuhusu Yesu?" Jibu: Watu wote wamewajibika kwa Mungu hata kama wamesikia au hawaja “sikia kumhusu” Bibilia yatwambia wazi wazi kuwa Mungu anajidhihirisha mwenyewe kwa uungu (Warumi 1:20) na katika Roho za watu (Mhubiri 3:11). Shida ni kwamba ni...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-23 09:40:44 - Traduzir -Je Yesu alienda kuzumuni kati ya kifo chake na kufufuka?Kuna kuchanganyikiwa kwingi kuhusu swali hili. Mwelekeo watoka kwa mafunzo ya mitume kumi na wawili ambao wasema, “alishuka kuzumuni.” Kuna maandiko machache ambayo kulingana na vile yametafsiriwa yanaelezea juu ya Yesu kuenda kuzimuni. Kwa kulichanganua swala hili, ni muimu kwanza kuelewa chenye Bibilia inafunza kuusu ulumwengu wa wafu. Katika bibilia ya Kiibrania neno...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
Je! ni sahihi kuning’iniza picha nyumbani mwako kama ya Yesu?Swali linaendelea…maana imeandikwa kutoka 20:4 “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. “ Sasa naomba kufahamu kufanya hivyo ni makosa? JIBU: kwa kulijibu hili swali tumalizie kusoma mstari huo.. Kutoka 20:4-5″ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa...0 Comentários 1 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Comentários 0 Compartilhamentos 10KB Visualizações 0 Anterior
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Comentários 0 Compartilhamentos 4KB Visualizações 0 Anterior
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
Páginas impulsionada
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].