0 Commentaires
0 Parts
7KB Vue
0 Aperçu
Rechercher
Découvrez de nouvelles personnes, créer de nouvelles connexions et faire de nouveaux amis
-
Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-22 06:22:50 - Traduire -ASILI MBILI ZA YESU KRISTOTokea Dunia ianze, hapajawai toke Mtu yeyote alieishi kama Yesu Kristo. Yesu ni mtu wa maana sana ambaye ni Mwokozi, Mungu katika Mwili “Emanueli” (Isaya 9:6). Yesu sio Nusu Mungu na Nusu Binadamu kama watu na au imani nyingi zinavyo sema. Yesu yeye ni Mungu na ni Binadamu kwa wakati mmoja. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asilia Mbili tofauti ambazo ni Mungu na Binadamu kwa...0 Commentaires 0 Parts 8KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2022-01-12 01:00:19 - Traduire -CHAKULA CHA YESU KRISTONeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SIKU YA KUICHAMBUA BIBLIA SOMO: CHAKULA CHA YESU KRISTO L eo tena, tunazidi kusonga mbele...0 Commentaires 0 Parts 7KB Vue 0 Aperçu
-
ETI, YESU ALIPOKUWA AMEKUFA DUNIA ILIKUWA INAENDESHWA NA NANI?Hili ndilo swali la wafuasi wa Muhammad kwa Wakristo na leo nitalijibu hapa. Hili ni swali linalofaa kuulizwa juu ya kiumbe. Kama tungesema kuwa mwanadamu fulani alikuwa amekufa, ndipo kuna mantiki kuuliza kwamba, wakati amekufa nani alikuwa anatunza familia yake? Maana hili ni swali linalohusu tabia za kibinadamu kwa kuwa mwanadamu hawezi kuwa mahali kuwili au zaidi kwa pamoja. MUNGU SI...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-24 06:24:49 - Traduire -FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2021-11-19 05:44:36 - Traduire -HAYA NDIYO MADHARA YA KUABUDU PICHA ZA WATU WALIOIGIZA SINEMA ZA YESU!BWANA YESU ASIFIWE watu wote wa mataifa yote, YESU anawapenda na pia MUNGU anawapenda na ROHO MTAKATIFU anawapenda vile vile na leo amenituma niwaletee habari njema za uponyaji wa roho na mwili ili miili isike ikaangamia na roho kuhukumiwa siku ile ya hukumu. Napenda kuwashukuru watu wote ambao waliamua kufundisha kuhusu maisha ya YESU kwa njia ya sinema, walifanya vizuri wameelimisha watu...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
ISA WA QURAN SIO YESU WA BIBLIANdugu msomaji, Zifuatazo ni thibitisho kadhaa zitakazo fundisha kuwa, Isa wa Quran na Yesu wa Biblia ni wawili na tofauti: UTHIBITISHO WA 1 MAANA YA JINA ISA Ni jambo la kawaida sana jina au majina kuwa na maana. Mfano majina haya ya kiarabu yana maana hizi: Muhammad, linamaanisha mwenye kushukuriwa, Abdalla ni Mtumwa wa Allah; Abu-Bakar maana yake ni Baba wa bikira; Abu...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-24 04:11:03 - Traduire -Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu?Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu? Je Mungu atawahukumu wale ambao hajawai sikia kuhusu Yesu?" Jibu: Watu wote wamewajibika kwa Mungu hata kama wamesikia au hawaja “sikia kumhusu” Bibilia yatwambia wazi wazi kuwa Mungu anajidhihirisha mwenyewe kwa uungu (Warumi 1:20) na katika Roho za watu (Mhubiri 3:11). Shida ni kwamba ni...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-23 09:40:44 - Traduire -Je Yesu alienda kuzumuni kati ya kifo chake na kufufuka?Kuna kuchanganyikiwa kwingi kuhusu swali hili. Mwelekeo watoka kwa mafunzo ya mitume kumi na wawili ambao wasema, “alishuka kuzumuni.” Kuna maandiko machache ambayo kulingana na vile yametafsiriwa yanaelezea juu ya Yesu kuenda kuzimuni. Kwa kulichanganua swala hili, ni muimu kwanza kuelewa chenye Bibilia inafunza kuusu ulumwengu wa wafu. Katika bibilia ya Kiibrania neno...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2022-06-12 23:54:35 - Traduire -Je! ni sahihi kuning’iniza picha nyumbani mwako kama ya Yesu?Swali linaendelea…maana imeandikwa kutoka 20:4 “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. “ Sasa naomba kufahamu kufanya hivyo ni makosa? JIBU: kwa kulijibu hili swali tumalizie kusoma mstari huo.. Kutoka 20:4-5″ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa...0 Commentaires 1 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-11-23 15:32:05 - Traduire -*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentaires 0 Parts 10KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-25 15:12:47 - Traduire -AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-26 06:41:50 - Traduire -AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-07 15:03:27 - Traduire -BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-06 16:59:17 - Traduire -BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Commentaires 0 Parts 4KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-24 09:44:51 - Traduire -FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-25 06:09:55 - Traduire -HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-10-17 20:10:29 - Traduire -INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi CHRISTIAN EDUCATION2024-01-24 10:41:33 - Traduire -JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-22 10:52:31 - Traduire -JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
Plus de résultats
Commandité
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].