0 Comentários
0 Compartilhamentos
6K Visualizações
0 Anterior
Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
-
BORA KUTESEKA MIKONONI MWA MUNGU,KULIKO KUPATA RAHA MIKONONI MWA SHETANI.Bwana Yesu asifiwe … Kwa ufupi. Kuwa mikononi mwa Mungu haina maana hakuna mateso. Mateso yapo pia katika Bwana,utakutana nayo tu kwa sababu hata Yesu aliteswa; Na ndio maana Neno linatuambia kwamba wale wote wapendao kuishi maisha ya utauwa,wataudhiwa ( 2 Timotheo 3:12). Lakini ni afadhali sana kupitia mateso ukiwa mkononi mwa Bwana, kwa maana kuna ushindi utakaoupata kuliko kule...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
EPUKA MUHURI WA SHETANIKutoka 21:2-6 ” Ukimnunua MTUMWA wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako HURU bure. 3 Kwamba aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kwamba ameoa, mkewe atatoka aende pamoja naye. 4 Kwamba ni bwana wake aliyempa huyo mke, naye amemzalia wana, wa kiume au wa kike; yule mke na wanawe watakuwa ni mali ya bwana wake, naye mume atatoka peke...0 Comentários 0 Compartilhamentos 8K Visualizações 0 Anterior
-
IJUE BIBLIA YA SHETANIBWANA YESU ASIFIWE watu wote wa mataifa yote ambao mmeumbwa na mwenyezi MUNGU na siyo shetani kawaumba. Mnamo mwaka 2010 YESU aliponiita nikamtumikie sababu kanisa limetekwa na shetani 98% katika ulimwengu wote na sasa yeye amebakiza muda mchache arudi kama alivyonieleza YESU yeye peke yake. Ni mambo mengi aliyonieleza ila kwa leo nitaelezea jambo moja ila zaidi ingia katika website...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior
-
Jinsi Shetani Anavyopofusha Fikra za Watu: Maandiko ya Biblia YanayofafanuaKatika Biblia, Shetani anaelezewa kama roho mbaya ambaye anaweza kushawishi, kudanganya, na kupofusha fikra za watu ili kuwapotosha mbali na ukweli wa Mungu. Hii inafanyika kwa njia mbalimbali, kama ilivyoelezwa katika maandiko. Hapa kuna mifano ya maandiko yanayofafanua jinsi Shetani anavyoweza kupofusha fikra za watu: Kudanganya na Kupotosha Ukweli Shetani anaitwa "baba wa uongo" katika...0 Comentários 0 Compartilhamentos 161 Visualizações 0 Anterior
-
JINSI YA KUTOFAUTISHA ROHO WA MUNGU NA ROHO WA SHETANIJE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA MUNGU? JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA SHETANI ? JE UNAJUA YUPO ROHO MSAIDIZI WA SHETANI? YUKOJE? BWANA YESU ASIFIWE, watu wote wa mataifa yote ambao mmeumbwa na MUNGU na ambaye ndiye BABA yake YESU, na kwa dini nyingine wanamwita yeye ni Nabii Issa, kipindi hiki amekaribia kurudi kwa ajili ya unyakuo. Ukisoma katika kitabu cha Yohana...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior
-
KUBOMOA MADHABAHU ZA SHETANIMadhabahu ni nini? Ni daraja la kuunganisha katika ya ulimwengu wa roho wa Mungu au shetani. Kuna aina 2 za madhabahu, Madhabahu ya MUNGU (Nuru)na madhabahu ya shetani (giza) ***MADHABAHU YA MUNGU Watu/watumishi wa Mungu katika Biblia walianza kwa kujenga madhabahu kabla ya kufanya chochote NUHU – Mwanzo 8:20“Nuhu akamjengea Bwana madhabahu; akatwaa katika kila...0 Comentários 0 Compartilhamentos 7K Visualizações 0 Anterior
-
KUMBE SHETANI ANAISHI MAKKANdugu zanguni huu ni Msiba mwingine kwa ndugu zetu. Amini usi amini habari ndio hii na ukweli leo unaanikiwa hapa. Inapo fika siku ya 10 ya Zhu Al-Hijjah , wana Hijaa huondoka kutoka Muzdalifah, huku wakiokota Mawe wakiwa njiani. Kufuatana na Sunna, katika siku hii ya kwanza (10), wanaruhusiwa kuokoka Mawe Saba tu. NAJUA UNASHANGAA, HAYA MAWE NI YA NINI NA WAISLAM WANAELEKEA WAPI....0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior
-
NAMNA SHETANI ANAVYOTUMIA ROHO YA USAHULIFU KUHARIBU MAISHA YA WAAMINIShalom, katika waraka huu wa Desemba 2016 nimeona ni vema kukumbusha juu ya jambo hili ambalo si wengi wanalijua ili uweze kuwa makini katika utendaji wa neno la Mungu na hivyo kupokea kilichokusudiwa kwenye kila hatua ya maisha yako. Tafadhali rejea andiko la somo, Luka 8:4-15, kwenye ule mstari wa 12 imeandikwa ‘Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, KISHA HUJA IBILISI...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior
-
NANI ANAPOTOSHA WATU ILI WAENDE JEHANNAM, ALLAH AU SHETANI?Ndugu wasomaji. Kwa mara nyingine tena, tunaziona sifa za Shetani ndani ya Allah wa dini ya Kiislamu. Adhama ya kuwaongoza watu ili waende Jehannamu ni ya Shetani kama ilivyo semwa kwenye Biblia Takatifu. Lakini nilipo soma Koran kwa makini, nikagundua kuwa kumbe na Allah anayo hii adhama ya kupeleka watu Jehannam. Hebu tumsome Allah kwenye kitabu chake alicho kiteremsha kupitia...0 Comentários 0 Compartilhamentos 4K Visualizações 0 Anterior
-
AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Comentários 0 Compartilhamentos 9K Visualizações 0 Anterior
-
MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO.MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO
-
PAULO ALIMAANISHA NINI KATIKA WARAKA KWA WAKOLOSAI 2:16-17NI NINI HASA PAULO ALIKUWA ANAMAANISHA KATIKA WARAKA WAKE KWA WAKOLOSAI 2:16-17. NAOMBA USOME HADI MWISHO UTAJIFUMZA VINGI SANA KWANI HIZI NI SIKU ZA MWISHO ZILIZOJAA UDANGANYIFU.
-
SOMO:BWANA AMETUPA MOTO DUNIANI LUKA 12:49SOMO:BWANA AMETUPA MOTO DUNIANI LUKA 12:49.
-
USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-34USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-340 Comentários 0 Compartilhamentos 12K Visualizações 0 Anterior
-
WANYAMA SABA 7 KATIKA KITABU CHA DANIEL1.Tafsiri ya unabii wa hicho kitabu cha Daniel 2.Kuhusu kanisa la Leo.Hivyo sisi kanisa la Leo tunahusikaje na unabii huu wa kitabu cha Daniel? Fuatana na mimi kujifunza
-
WEWE NI HEKALU LA MUNGUWEWE NI HEKALU LA MUNGU0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
Páginas Impulsionadas
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].