KUBOMOA MADHABAHU ZA SHETANI
Madhabahu ni nini?
Ni daraja la kuunganisha katika ya ulimwengu wa roho wa Mungu au shetani.
Kuna aina 2 za madhabahu, Madhabahu ya MUNGU (Nuru)na madhabahu ya shetani (giza)
***MADHABAHU YA MUNGU
Watu/watumishi wa Mungu katika Biblia walianza kwa kujenga madhabahu kabla ya kufanya chochote
NUHU – Mwanzo 8:20“Nuhu akamjengea Bwana madhabahu; akatwaa katika kila...