0 Commentarios
0 Acciones
7K Views
0 Vista previa
Buscar
Descubre nuevas personas, crear nuevas conexiones y hacer nuevos amigos
-
Please log in to like, share and comment!
-
DANIELI 10Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli, leo tukitazama ile sura ya 10, Kama tukiangalia kwa undani kitabu hichi tutaona kuwa sehemu kubwa ya Unabii Danieli aliopewa ulikuwa unahusu zile FALME 4 zitakazotawala mpaka mwisho wa dunia, ambazo ni 1) BABELI 2) UMEDI na UAJEMI 3) UYUNANI na 4) RUMI....0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
DANIELI 11Mungu wetu MKUU YESU KRISTO, asifiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli, kama tulivyoona katika mlango uliopita, Danieli akionyeshwa maono yale na Gabrieli, akiwa kando ya ule mto Hidekeli jambo hili tunalisoma katika ile sura ya 10, Lakini kwenye hii sura ya 11 na 12 tunaona ni mwendelezo ule ule wa mazungumzo kati ya Gabrieli na Danieli, Kumbuka baada ya Danieli...0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
DANIELI 12Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lihimidiwe milele na milele. Huu ni mwendelezo wa kitabu cha Danieli leo tukiwa katika ile sura ya mwisho ya maono Danieli aliyoonyeshwa yahusuyo siku za mwisho. Katika sura hii tunaona Gabrieli akiendelea kumfunulia Danieli mfululizo wa mambo yaliyoanzia sura ile ya 10 na 11 ambapo tuliona jinsi Danieli akiambiwa kwa undani mambo yaliyojiri katika utawala...
-
DANIELI 2Kulikuwa na sababu kwanini Mungu aliinyanyua Babeli kuwa taifa lenye nguvu kuliko yote duniani na kutawala falme zote za dunia kwa wakati ule, hata kudhubutu kulichukua taifa teule la Mungu Israeli kulipeleka utumwani, pamoja na kuteketeza mji na Hekalu la Mungu..Aliruhusu kwasababu alitaka kuonyesha kuwa ijapokuwa ni mji uliokuwa umetukuka sana, lakini siku moja kwa wakati ulioamriwa mji huo...0 Commentarios 0 Acciones 10K Views 0 Vista previa
-
DANIELI 4JINA LA BWANA wetu YESU KRISTO, Mkuu wa milki zote za dunia lihimidiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli; Sura hii inaelezea Maono Mfalme Nebukadreza aliyoyaona na kumpelekea kubadili fikra zake na kuwa mtu mkamilifu mbele za Mungu, aliandika barua hii.. Danieli 4:1 Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia...0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
DANIELI 5KUANGUKA KWA BABELI: Tukisoma katika Historia na kwenye biblia tunapata picha jinsi mji wa Babeli ulivyokuwa mkubwa, wenye maboma yenye nguvu, na ngome Imara iliyokuwa imezungukwa na kuta ndefu zenye njia katikati pande zote, mpaka kufikia wenyeji wa mji ule kusema kuwa ni “mji udumuo milele”, Lakini tunaona wakati mmoja Mfalme wa Taifa hilo (BELSHAZA) alipokuwa...0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
DANIELI 9Jina la Bwana wetu na mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe; Katika sura hii tunaona Danieli kwa shauku ya kutaka kujua hatma ya Taifa lake Israeli na watu wake,hata lini wataendelea kukaa katika nchi ya ugenini,aliazimu kutafuta kwa bidii, kwa njia nyingi ikiwemo kwa kusoma VITABU, na kufunga na kuomba juu ya jambo hilo mpaka akasikiwa. Kama tunavyosoma; Danieli 9:1-2 ”...0 Commentarios 0 Acciones 9K Views 0 Vista previa
-
-
MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO.MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO
-
USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-34USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-340 Commentarios 0 Acciones 12K Views 0 Vista previa
-
WANYAMA SABA 7 KATIKA KITABU CHA DANIEL1.Tafsiri ya unabii wa hicho kitabu cha Daniel 2.Kuhusu kanisa la Leo.Hivyo sisi kanisa la Leo tunahusikaje na unabii huu wa kitabu cha Daniel? Fuatana na mimi kujifunza
Resultados de la búsqueda
Patrocinados
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].