DANIELI 4
JINA LA BWANA wetu YESU KRISTO, Mkuu wa milki zote za dunia lihimidiwe.
Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli;
Sura hii inaelezea Maono Mfalme Nebukadreza aliyoyaona na kumpelekea kubadili fikra zake na kuwa mtu mkamilifu mbele za Mungu, aliandika barua hii..
Danieli 4:1 Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia...