0 Kommentare
0 Geteilt
7KB Ansichten
0 Bewertungen
Suche
Entdecken Sie neue Leute, knüpfen Sie neue Kontakte und schließen Sie neue Freundschaften
-
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren!
-
DANIELI 10Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli, leo tukitazama ile sura ya 10, Kama tukiangalia kwa undani kitabu hichi tutaona kuwa sehemu kubwa ya Unabii Danieli aliopewa ulikuwa unahusu zile FALME 4 zitakazotawala mpaka mwisho wa dunia, ambazo ni 1) BABELI 2) UMEDI na UAJEMI 3) UYUNANI na 4) RUMI....0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
DANIELI 11Mungu wetu MKUU YESU KRISTO, asifiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli, kama tulivyoona katika mlango uliopita, Danieli akionyeshwa maono yale na Gabrieli, akiwa kando ya ule mto Hidekeli jambo hili tunalisoma katika ile sura ya 10, Lakini kwenye hii sura ya 11 na 12 tunaona ni mwendelezo ule ule wa mazungumzo kati ya Gabrieli na Danieli, Kumbuka baada ya Danieli...0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
DANIELI 12Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lihimidiwe milele na milele. Huu ni mwendelezo wa kitabu cha Danieli leo tukiwa katika ile sura ya mwisho ya maono Danieli aliyoonyeshwa yahusuyo siku za mwisho. Katika sura hii tunaona Gabrieli akiendelea kumfunulia Danieli mfululizo wa mambo yaliyoanzia sura ile ya 10 na 11 ambapo tuliona jinsi Danieli akiambiwa kwa undani mambo yaliyojiri katika utawala...
-
DANIELI 2Kulikuwa na sababu kwanini Mungu aliinyanyua Babeli kuwa taifa lenye nguvu kuliko yote duniani na kutawala falme zote za dunia kwa wakati ule, hata kudhubutu kulichukua taifa teule la Mungu Israeli kulipeleka utumwani, pamoja na kuteketeza mji na Hekalu la Mungu..Aliruhusu kwasababu alitaka kuonyesha kuwa ijapokuwa ni mji uliokuwa umetukuka sana, lakini siku moja kwa wakati ulioamriwa mji huo...0 Kommentare 0 Geteilt 10KB Ansichten 0 Bewertungen
-
DANIELI 4JINA LA BWANA wetu YESU KRISTO, Mkuu wa milki zote za dunia lihimidiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli; Sura hii inaelezea Maono Mfalme Nebukadreza aliyoyaona na kumpelekea kubadili fikra zake na kuwa mtu mkamilifu mbele za Mungu, aliandika barua hii.. Danieli 4:1 Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia...0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
DANIELI 5KUANGUKA KWA BABELI: Tukisoma katika Historia na kwenye biblia tunapata picha jinsi mji wa Babeli ulivyokuwa mkubwa, wenye maboma yenye nguvu, na ngome Imara iliyokuwa imezungukwa na kuta ndefu zenye njia katikati pande zote, mpaka kufikia wenyeji wa mji ule kusema kuwa ni “mji udumuo milele”, Lakini tunaona wakati mmoja Mfalme wa Taifa hilo (BELSHAZA) alipokuwa...0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
DANIELI 9Jina la Bwana wetu na mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe; Katika sura hii tunaona Danieli kwa shauku ya kutaka kujua hatma ya Taifa lake Israeli na watu wake,hata lini wataendelea kukaa katika nchi ya ugenini,aliazimu kutafuta kwa bidii, kwa njia nyingi ikiwemo kwa kusoma VITABU, na kufunga na kuomba juu ya jambo hilo mpaka akasikiwa. Kama tunavyosoma; Danieli 9:1-2 ”...0 Kommentare 0 Geteilt 9KB Ansichten 0 Bewertungen
-
-
MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO.MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO
-
USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-34USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-340 Kommentare 0 Geteilt 12KB Ansichten 0 Bewertungen
-
WANYAMA SABA 7 KATIKA KITABU CHA DANIEL1.Tafsiri ya unabii wa hicho kitabu cha Daniel 2.Kuhusu kanisa la Leo.Hivyo sisi kanisa la Leo tunahusikaje na unabii huu wa kitabu cha Daniel? Fuatana na mimi kujifunza
Weitere Ergebnisse
Gesponsert
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].