0 Commentarii
0 Distribuiri
5K Views
0 previzualizare
Căutare
Descoperă oameni noi, creează noi conexiuni și faceti-va noi prieteni
-
Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
-
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
JIHADHARI USIMKATAE MUNGU KATIKA FAHAMU ZAKOShalom, leo nipe muda nikuonyeshe jambo muhimu sana katika safari yetu ya wokovu hapa dunia kupitia kitabu cha Warumi. Warumi 1:28 imeandikwa ‘Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa’. Katika hali ya kawaida tumezoea kusika na kuona watu wakikataa kufuata maelekezo, sera au miongozo fulani kwa maneno...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
MILANGO YA FAHAMU YA KIROHOMILANGO YA FAHAMU KATIKA HALI YA MWILI Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua na kuyamudu mazingira yetu kwa usahihi. Kibailojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile; Nuru, Sauti, Halijoto, Mwendo, Harufu na ladha ili kuzibadilisha katika mfumo wa kiumeme inachukuliwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi kwenye ubongo. Kuna...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentarii 0 Distribuiri 10K Views 0 previzualizare
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
WEWE NI HEKALU LA MUNGUWEWE NI HEKALU LA MUNGU0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].