0 Comentários
0 Compartilhamentos
5K Visualizações
0 Anterior
Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
-
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
JIHADHARI USIMKATAE MUNGU KATIKA FAHAMU ZAKOShalom, leo nipe muda nikuonyeshe jambo muhimu sana katika safari yetu ya wokovu hapa dunia kupitia kitabu cha Warumi. Warumi 1:28 imeandikwa ‘Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa’. Katika hali ya kawaida tumezoea kusika na kuona watu wakikataa kufuata maelekezo, sera au miongozo fulani kwa maneno...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5K Visualizações 0 Anterior
-
MILANGO YA FAHAMU YA KIROHOMILANGO YA FAHAMU KATIKA HALI YA MWILI Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua na kuyamudu mazingira yetu kwa usahihi. Kibailojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile; Nuru, Sauti, Halijoto, Mwendo, Harufu na ladha ili kuzibadilisha katika mfumo wa kiumeme inachukuliwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi kwenye ubongo. Kuna...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Comentários 0 Compartilhamentos 10K Visualizações 0 Anterior
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
WEWE NI HEKALU LA MUNGUWEWE NI HEKALU LA MUNGU0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].