0 Commentaires
0 Parts
5KB Vue
0 Aperçu
Rechercher
Découvrez de nouvelles personnes, créer de nouvelles connexions et faire de nouveaux amis
-
Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-24 06:24:49 - Traduire -FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTOUkweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”. Uwezo wa...0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2021-11-23 13:02:56 - Traduire -JIHADHARI USIMKATAE MUNGU KATIKA FAHAMU ZAKOShalom, leo nipe muda nikuonyeshe jambo muhimu sana katika safari yetu ya wokovu hapa dunia kupitia kitabu cha Warumi. Warumi 1:28 imeandikwa ‘Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa’. Katika hali ya kawaida tumezoea kusika na kuona watu wakikataa kufuata maelekezo, sera au miongozo fulani kwa maneno...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2021-11-19 07:28:54 - Traduire -MILANGO YA FAHAMU YA KIROHOMILANGO YA FAHAMU KATIKA HALI YA MWILI Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua na kuyamudu mazingira yetu kwa usahihi. Kibailojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili kama vile; Nuru, Sauti, Halijoto, Mwendo, Harufu na ladha ili kuzibadilisha katika mfumo wa kiumeme inachukuliwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi kwenye ubongo. Kuna...0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-11-23 15:32:05 - Traduire -*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentaires 0 Parts 10KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-07 15:03:27 - Traduire -BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-25 06:09:55 - Traduire -HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi CHRISTIAN EDUCATION2023-12-23 16:13:51 - Traduire -WEWE NI HEKALU LA MUNGUWEWE NI HEKALU LA MUNGU0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
Commandité
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].