2 Kommentare
0 Geteilt
2KB Ansichten
0 Bewertungen
Suche
Entdecken Sie neue Leute, knüpfen Sie neue Kontakte und schließen Sie neue Freundschaften
-
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren!
-
GOSPEL PREACHER2022-03-23 18:27:17 - Übersetzen -Biblia inakataza kuapa kabisa, lakini kwanini watu wanaapa mahakamani na katika vifungo vya ndoa?SWALI: Biblia inakataza kuapa kabisa, lakini kwanini watu wanaapa mahakamani na katika vifungo vya ndoa? JIBU: Ni vizuri kuelewa aina ya viapo mbalimbali vinavyozungumziwa katika biblia, ili usichanganyikiwe unapokutana na baadhi ya vifungu vinavyoonyesha wengine wakiapa lakini Biblia haiwahesabii kosa lolote kwa mfano pale mtume Paulo aliposema. 2Wakorintho 1: 23 “Lakini...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KAMA YESU NI MUNGU, KWANINI ALIKUFA?JE, MUNGU ANAKUFA? Hayo ni maswali ya Waislam kila siku, na kwenye hii mada nitayajibu. SOMA: 1 Petro 3: 18 - 19 Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa, 19 ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri; Neno la Mungu linasema kuwa MWILI WAKE...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
Kwanini Mkristo anauhakika wa kwenda Paradiso zaidi ya Muislamu?1. Je, Kurani inatoa uhakika kwa Waislamu? Kurani inatengeneza tu mazingira ya mashaka kuhusiana na kuingia Paradiso au hapana. Muislamu hanauhakika wa kuiepuka jehanamu ya moto: “Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa...0 Kommentare 0 Geteilt 4KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA NA TABIA KAMA ZA WANAWAKE?1. APAKA WANJA NA PODA KAMA WANAWAKE.2. ACHUCHUMAA WAKATI WA HAJA NDOGO.3. ALIVAA MAGAUNI YA WAKE ZAKE. HUU NI MSIBA WA KUMALIZA MWAKA 2016 KWA WAISLAM. Japo alikuwa mwanaume lakini Muhammad alikuwa na tabia kama za Wanawake, Mfano Muhammad alikuwa anachuchumaa wakat anakojoa. Soma ushaidiL Aisha Mke Wa Mtume Anasema "Mwenye kukuhadithieni kuwa Mtume Wa Allah (S.a.w) alikwenda...0 Kommentare 0 Geteilt 4KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KWANINI MUHAMMAD ALITAKA KUJINYONGA “COMMIT SUICIDE”?1. MUHAMMAD ALITAKATA KUJINYONGA2. MUHAMMAD ALIPANDA MLIMANI NA KUJARIBU KUJIRUSHA ILI AFE3. AISHA ASEMA MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA Ndugu msomaji, Tunaposoma Biblia tunajifunza kuwa Mungu aliwapa Unabii na Utume watu wake kwa njia ya upendo. Lakini nilipo soma vitabu vya Allah nilikutana na mambo ya ajabu sana. Bila ya kupoteza muda, ngoja niweke vitabu vyake ili na wewe ujisomee...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
Kwanini Mungu Hakumuua Nyoka, Akamwacha Hawa Ajaribiwe Katika Bustani Ya Edeni?JIBU: Hili ni swali watu wengi wanajiuliza ni Kwanini Mungu hakumuua Nyoka, badala yake akamwacha Hawa ajaribiwe na yeye?. Tunapaswa tufahamu wakati mwingine Mungu anaruhusu sisi wanadamu tujaribiwe kwa makusudi maalumu ili tuujue uweza wake na asili yake kwetu sisi na pia tumjue yeye zaidi, kwamfano jaribu kufikiria tungemjuaje kama yeye ni mwokozi kama tusingepotea katika dhambi?, tungejuaje...0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KWANINI MUNGU HUBARIKI MATAIFA YANAYOIBARIKI ISRAELI?Taifa la Israeli pamoja na mji wake mtakatifu wa Yerusalemu, kimsingi ndio unaoshika funguo za maisha ya baadaye na kuratibu kila hitimisho la kidunia kulingana na unabii katika Maandiko matakatifu. Patanisho la wanadamu na Mungu hata kuwaletea wanadamu neema ya kuwa na amani na Mungu lilifanyika Israeli. Kwa upande mwingine, ningeweza kusema kwamba; kutimilika kwa unabii wa maandiko...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KWANINI SULEIMAN ALIKUWA NA WAKE MIA SABA (700) NA MASURIA MIA TATU (300)?Kwenye 1 WaFalme 11:1-3, kwa nini Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300, kinyume cha amri ya Mungu ya kwenye Kumb 17:17? Jibu: Kumbukumbu 17:17 inasema mfalme asiwe na wake wengi, na kwa kitendo hicho, Suleiman alifanya dhambi. Kuoa wake ilikuwa ni njia ya kuimarisha ushirikiano na falme nyingine, lakini pia ilikuwa ni makosa kutokumtii Mungu. 1 Fal 11:1-4 inasema kuwa Suleiman...
-
KWANINI WAISLAM WALITENGENEZA INJILI YA UWONGO YA BARNABAS?SEHEMU YA 1 Mwalimu Chaka SWALI: Kwa nini Wakristo Hamuitambui Injili ya Barnaba?lililoulizwa na: Abdullah Mbwana, Mombasa. Imetibitishwa kwamba kitabu kinachojulikana kama Injili ya Barnaba hakina uhusiano wowote na Ukristo. Ni ushahidi bandia kuhusu Injili takatifu na jaribio la kuwakilisha kwa ubaya dini ya Kikristo. Kitabu hiki kinachohusishwa na Barnaba kilitafsiriwa...0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
KWANINI WENGINE WANYAKULIWE NA WENGINE WAACHWEKWANINI WENGINE WANYAKULIWE NA WENGINE WAACHWE.
-
NI NINI KITAKACHOTUTENGA NA UPENDO YESU KRISTO?NI NINI KITAKACHOTUTENGA NA UPENDO YESU KRISTO?WARUMI 8:35-39
-
TENGENEZA MAMBO YA NYUMB YAKOTENGENEZA MAMBO YA NYUMBA YAKO0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
Weitere Ergebnisse
Gesponsert
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].