KWANINI WAISLAM WALITENGENEZA INJILI YA UWONGO YA BARNABAS?
SEHEMU YA 1 Mwalimu Chaka SWALI: Kwa nini Wakristo Hamuitambui Injili ya Barnaba?lililoulizwa na: Abdullah Mbwana, Mombasa.   Imetibitishwa kwamba kitabu kinachojulikana kama Injili ya Barnaba hakina uhusiano wowote na Ukristo. Ni ushahidi bandia kuhusu Injili takatifu na jaribio la kuwakilisha kwa ubaya dini ya Kikristo.   Kitabu hiki kinachohusishwa na Barnaba kilitafsiriwa...
0 Commenti 0 condivisioni 5K Views 0 Anteprima