UFAHAMU KUHUSU DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU
VIPENGELE VYA SOMO(1). NI MAANA YA KUKUFURU?(2). DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU IKOJEE?(3). DHAMBI YA KUMKUFURU MUNGU ILIFANYWA NA SHETANI NA MALAIKA ZAKE WALIOASIUTANGULIZIKumkufuru Roho mtakatifu ni dhambi nyingine mbaya sana tena kubwa zaidi ambayo haina msamaha milele na milele.Na ole kwake kwa mtu yule atakayeitenda itakuwa imekula kwake.Maana hata ukiitubu dhambi hii, haina msamaha...
Love
1
4 Commentarios 0 Acciones 8K Views 0 Vista previa