Injili Ya Yesu Kristo
    TAFADHALI JIHADHARI USIUKUBALI UONGO HUU WA ADUI.
    Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu, nakusalimu kwa jina la Kristo Yesu, ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika kuvipiga vita vya imani, huku imani ukiilinda na hatimaye mwendo uumalize vyema ili kwa pamoja tukamlaki Yesu mawinguni.  Siku moja nikiwa nyumbani, uliingia ujumbe wa Kundi (Group) la whatsapp, ambalo mtumishi mmoja wa Mungu aliiunganisha namba yangu. Lengo la Kundi hili lilikuwa ni kujifunza maneno ya Mungu na kuhubiri injili. Sasa siku hiyo ambayo ilikuwa ni tarehe 02...
    By PROSPER HABONA 2025-09-03 17:41:58 0 308
    Injili Ya Yesu Kristo
    MASWALI YA KITABU CHA MWANZO
    MASWALI YA KITABU CHA MWANZO KWA WATOTO Nani alimwuzia mwenzake haki ya mzaliwa wa kwanza?    KAINI  YAKOBO  IBRAHIMU  ESAU Hapo mwanzo Mungu aliumba nini?    BINADAMU  MBINGU NA NCHI  BAHARI  SAMAKI Binadamu wa kwanza kuumbwa alikua nani?  MWANAUME  MWANAMKE   Adamu aliishi miaka mingapi?  100  69  930  150...
    By PROSPER HABONA 2024-01-07 04:56:40 0 3K
    Injili Ya Yesu Kristo
    NJIA YA WOKOVU NDANI YA KITABU CHA WARUMI.*
    NJIA YA WOKOVU NDANI YA KITABU CHA WARUMI.*  
    By Martin Laizer 2023-10-18 04:00:33 0 6K
    Injili Ya Yesu Kristo
    Ukijibu Kabla Haujasikia, Ni Upumbavu Na Aibu Kwako.
    Maelezo ya Mithali 18:13 Yeye ajibuye kabla hajasikia,  Ni upumbavu na aibu kwake. Hekima inatufundisha tusiwe watu wa kujibu au kuzungumza kabla hatujasikia habari yote au taaarifa yote na kuitafakari kwanza..Kwamfano mwenzako anazungumza jambo Kisha wewe ukaingilia kati na kutaka kujibu, hoja ambayo haijakamilika..Matokeo yake hapo ni Nini kama sio kutoa majibu yasiyosahihi?. Au ambayo hayajakamilika? Ndio hapo anasema ni upumbavu na aibu kwake.  Hii imeathiri hata kusambaa...
    By GOSPEL PREACHER 2023-09-22 19:28:42 0 6K
    Injili Ya Yesu Kristo
    ZIJUE FUMBO ZA ADUI SHETANI ILI ZISIKUNASE
    Kati ya yale makanisa 7 tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Kanisa la Thiatira, lilikuwa ni la tofauti sana, kwani lenyewe lilisifiwa sana na Bwana kwa jinsi lilivyokuwa linapanda viwango, siku baada ya siku, kiimani, kihuduma, pamoja na kiupendo, tofauti na makanisa mengine sita, hadi Bwana Yesu alilipongeza kwa  kuliambia, matendo yake ya mwisho yamezidi yale ya kwanza..(Ufunuo 2:18-29) Lakini pamoja na kuwa lilienda katika uaminifu huo, Shetani naye hakukaa nyuma. Bali alibuni...
    By GOSPEL PREACHER 2023-08-19 23:32:40 0 7K
    Injili Ya Yesu Kristo
    SIRI ZA KIROHO ZILIZOPO NDANI YA SIKUU 7 ZA KIYAHUDI
    Baada ya wana wa Israeli kutoka Misri na kuingia katika nchi yao ya ahadi Mungu aliwaagiza wazishike zile sikukuu 7 muhimu kama sikukuu za Bwana katika vizazi vyao vyote,.Kwa maelezo marefu juu ya Sikukuu hizi unaweza ukazisoma katika kitabu cha Mambo ya walawi mlango wa 23 wote, Na sikukuu zenyewe ndio hizi: 1) Sikukuu ya Pasaka: 2) Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu: 3) Sikukuu ya Malimbuko(mzao wa kwanza): 4) Sikukuu ya majuma(Mavuno): 5) Sikukuu ya...
    By GOSPEL PREACHER 2023-07-16 00:04:43 2 8K
    Injili Ya Yesu Kristo
    EPUKA MOTO WA KIGENI
    YALIYOMO 1. Utangulizi 2. Moto wa Kigeni 3. Hitimisho MALENGO YA FUNDISO -         Kuona madhara ya Moto wa Kigeni kanisani -         Kuonyesha nini kifanyike kuondoa Moto wa Kigeni ANDIKO KUU ;- Kutoka 30:7-8 1. UTANGULIZI - Vitabu vitano vya Musa ni kivuri cha mambo ya Agano Jipya, katika torati, Mungu anapomuua mtu ujue kwamba hilo jambo ni siriasi hata Agano Jipya, pia Mungu anaposema ‘jambo fulani...
    By GOSPEL PREACHER 2023-06-25 01:11:44 0 8K
    Injili Ya Yesu Kristo
    MOTO WA KIGENI
    Walawi 10:1-2 “Na Nadabu na Abihu, wana wa Haruni, wakatwaa kila mtu chetezo chake, wakatia moto ndani yake, wakatia na uvumba, nao wakatoa moto wa kigeni mbele ya BWANA, ambao yeye hakuwaagiza. Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, nao ukawala, nao wakafa mbele za BWANA.”     Utangulizi:   Mojawapo ya matukio mazito ya kutisha ambayo yamerekodiwa katika Biblia hususani wakati wa agano la kale ni pamoja na tukio la kifo cha wana wa Haruni Nadabu na Abihu,...
    By GOSPEL PREACHER 2023-06-25 01:00:10 2 8K
    Injili Ya Yesu Kristo
    USITUMIE MOTO WA KIGENI, UTAKUFA!
    Zamani nilipokuwa mdogo nilijaribu kufanya zoezi ambalo lilikuwa ni hatarishi kwangu. Nilidhani, kila “balbu” ilihitaji kitu kinachoitwa “Umeme”tu  bila kujua ni umeme kiasi gani unahitajika ili uwake. Hivyo, siku hiyo nikachukua nyaya mbili, nikazichomeka moja kwa moja kwenye soketi, lengo langu ni zile nyaya nitakapozigusanisha  sasa na  balbu nione ikiwaka, nifurahie. Lakini nilipozigusanisha tu zile waya na balbu, matokeo yalikuwa ni tofauti na...
    By GOSPEL PREACHER 2023-06-25 00:02:53 0 7K
    Injili Ya Yesu Kristo
    IPONYE NAFSI YAKO, EPUKA MANABII WA UONGO
    Muhubiri/ Mtumishi yeyote aliyerudi nyuma na kusahau kusudi lake tayari anageuka kuwa nabii wa uongo, kumbuka pia, biblia inapotaja nabii wa uongo, haimaanishi tu mtu Yule mwenye karama ya kinabii, hapana! Bali neno hilo ni neno la kiujumla linaloweza kumaanisha aidha Mwalimu wa uongo, au mchungaji wa uongo, au mtume wa uongo, au muinjilisti wa uongo, au hata muimbaji wa uongo, wote hao ni manabii wa uongo kibiblia. Leo tutajifunza tabia kuu tatu za wahubiri waliorudi nyuma. Ambapo tukizijua...
    By GOSPEL PREACHER 2023-06-17 23:43:15 0 8K
    Injili Ya Yesu Kristo
    UMETOLEWA MISRI, LAKINI MISRI HAIJAKUTOKA.
    Bwana Yesu asifiwe.. Ni mtu wa makamu hivi, ameokoka na kwa kweli anajitahidi kumpenda Mungu. Lakini maskini!!! ni mtumwa wa dhambi, kwa maana kila anapojitahidi kutenda mema hujikuta akitenda mabaya. Unajua si yeye bali ni nguvu itendayo kazi ndani yake, nguvu iliyopo ndani yake inamfanya afanye dhambi ingawa anachukia kufanya dhambi. Huyu ni mfano wa wengi wanaopitia kama yeye. Lakini kwa sababu ana bidii ya kukaza kwa Bwana, basi ni dhahiri atafunguliwa tu. Mimi ninayekuandikia ujumbe huu...
    By GOSPEL PREACHER 2023-06-11 04:27:07 0 7K
    Injili Ya Yesu Kristo
    MAISHA BAADA YA KUBATIZWA NA ROHO MTAKATIFU.
    Mtu anapozaliwa mara ya pili kwa kumkaribisha Bwana Yesu ndani ya maisha yake, huingia katika maisha mapya na kutembea katika uongozi wa Mungu aliye hai. Mtu huyu aliyezaliwa mara ya pili anapofikia mahali pa kukutana na Nafsi ya tatu ya Mungu (Roho Mtakatifu) ana kwa ana katika kipimo cha kufurika (tele), huingia katika ufunuo mpya na maisha mapya ya kushuhudia uthihirisho wa nguvu za Mungu katika maisha yake. Katika maisha haya ya kutembea na Roho Mtakatifu, ni vema kila mwamini apate...
    By GOSPEL PREACHER 2023-04-13 13:06:36 0 7K
Sayfa Oluştur
Açıklama
Learn various facts about God, which are found in the book of Deuteronomy.
Read More
NUMBERS
Verse by verse explanation of Numbers 17
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 24 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-24 14:58:31 0 5K
HOLY BIBLE
The Healings of Jesus Christ
Individuals Who Demonstrated Faith References of Individuals Who Received Their Healing by Faith...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-22 20:21:20 0 5K
OTHERS
KWANINI SULEIMAN ALIKUWA NA WAKE MIA SABA (700) NA MASURIA MIA TATU (300)?
Kwenye 1 WaFalme 11:1-3, kwa nini Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300, kinyume cha amri...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 21:03:13 0 5K
MAHUSIANO KIBIBLIA
SEHEMU YA 3: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
Bwana asifiwe!! Unaweza kusoma SEHEMU YA 1, SEHEMU YA 2, SEHEMU YA 4 au SEHEMU YA 5 ya somo hili,...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-06 11:43:23 0 5K
EXODUS
Verse by verse explanation of Exodus 5
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 28 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-21 14:14:52 0 5K