MASWALI YA KITABU CHA MWANZO

0
3K

MASWALI YA KITABU CHA MWANZO KWA WATOTO

  • Nani alimwuzia mwenzake haki ya mzaliwa wa kwanza?
 
 
 
 
 
  • Hapo mwanzo Mungu aliumba nini?
 
 
 
 
 
  • Binadamu wa kwanza kuumbwa alikua nani?
 
 
 
  • Adamu aliishi miaka mingapi?
 
 
 
 
  • Mungu aliuteketeza miji gani kwa kibiriti na moto??
 
 
 
 
  • Ni agano gani Mungu aliloweka kati ya yake na nchi baada ya Nuhu na wote kutoka ndani ya safina?
 
 
 
 
 
  • Baada ya Kaini kumuua Habili Mungu alimwekea nini Kaini kama ulinzi kwake?
 
 
 
 
  • Mungu alipumzika siku ya ngapi?

Add description here!

 
 
 
 
  • Nani alimsaidia Farao kufasiri ndoto?
 
 
 
 
  • Kijakazi wa Sarai alikua nani?
 
 
 
 
  • Kaini alikua anafanya kazi gani?
 
 
 
 
  • Kisima ambacho alichimba Isaka ambacho hakikugombaniwa na wachungaji wa Gerari?
 
 
 
  • Nani alomdanganya Eva kula tunda la mti wa uzima?
 
 
 
  • Nani alipata neema machoni pa Mungu na kughairi mabaya kwao?
 
 
 
 
  • Yusufu aliuzwa kwa watu gani?
 
 
 
 
Cerca
Categorie
Leggi tutto
Injili Ya Yesu Kristo
HAZINA ILIYOSITIRIKA NA MFANYABIASHARA
Neno la Uzima kutoka kwa  Askofu Mkuu Zachary Kakobe      ...
By GOSPEL PREACHER 2022-01-12 01:43:14 0 5K
OTHERS
How to Change WordPress Logo in Login Page?
  Updated on Sep 10, 2020  Posted by Editorial Staff  Website...
By Shabea Disony 2022-09-04 21:37:51 0 9K
HOLY BIBLE
Jesus is God
"You are my witnesses," declares the LORD, "and my servant whom I have chosen, so that you...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 05:48:17 0 6K
SPIRITUAL EDUCATION
IT IS NOT FOR THE ANOINTED
This message was given to me on the evening of  March 29, 2014 in Njombe Region after...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:40:43 0 5K
NUMBERS
Verse by verse explanation of Numbers 12
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 26 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-24 14:36:34 0 5K