UKWELI KUHUSU HAKI IPATIKANAYO KWA IMANI

0
5KB

BWANA YESU ASIFIWE!! Mpendwa Roho Mtakatifu ameweka

Nyakati hizi tunazoishi ni nyakati/siku za mwisho, tena ukweli kamili ni kwamba sisi leo tunaishi mwishoni mwa siku za mwisho, hivyo muda wowote ule kuanzia sasa, Kristo Yesu atarudi kuja kulinyakua kanisa lake (mathayo 99898989). Na kwa kuwa zimebaki siku chache sana, ndio maana Ibilisi/Shetani anafanya kazi kwa kasi kubwa sana maana anajua muda wake uliobaki ni mchache(mathayo 8980980980). Usisahau lengo la Shetani ni moja tu nalo ni kuhakikisha mwanadamu anachomwa moto milele pamoja naye.

Pia usisahau kuwa ilishatabiriwa katika siku zetu hizi za mwisho, watatokea manabii wa uongo wengi, watakaofundisha mafundisho ya uongo ili kudanganya watu waiache njia ya kweli ya Kristo Yesu, tena ilitabiriwa kuwa watafanikiwa kuwadanganya wengi. Muda huu unaposoma ujumbe huu, napenda utambue kuwa roho hii chafu kutoka kuzimu, tayari ipo duniani na inafanya kazi kwa nguvu zake zote. Hivyo kufanya maombi ili kuikemea itoke ni kupoteza muda, maana maombi hayo hayatajibiwa, kwa kuwa huu ndio wakati wake haswa wa kufanya kazi, hivyo maombi sahihi ni kuomba nguvu ya Roho Mtakatifu itufunike ili tusiwe miongoni mwa wengi watakaodanganywa na kupotoshwa na mafundisho potofu yanayohubiriwa na mawakala wa roho hii chafu.

 Hivyo lengo la ujumbe huu sio kuizuia roho hii isifanye kazi (maana inafanya kazi katika wakati wake ulioamuriwa na Mungu), bali ujumbe huu umekusudia mambo makuu matatu yafuatayo:-

  • Nimekusudia kukuhubiri injili halisi na ya kweli ili wewe usiwe miongoni mwa hao wengi wanaodanganywa, kumbuka njia iendayo upotevuni ni pana nao waipitao ni wengi, lakini nakuombea wewe usiwe miongoni mwao.
  • Hata kama utaukataa ujumbe huu kwa siku ya leo, lakini ni maombi yangu kwa Mungu kuwa Roho wake Mtakatifu ataendelea kusema na roho yako ili yamkini nawe pia uweze kuikubali, na ujiunge na safari yetu tuliyonayo ya kwenda mbinguni.
  • Na hata kama bado utaikataa sauti hii ya Roho Mtakatifu, bado nitakuwa nimefanikisha lengo moja tu nalo ni: kukueleza ukweli ili damu yako Mungu asiidai mikononi mwangu.

k

Love
1
Rechercher
Catégories
Lire la suite
NEHEMIAH
Verse by verse explanation of Nehemiah 4
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 30 questions at the...
Par THE HOLY BIBLE 2022-04-02 12:16:07 0 6KB
Religion
JE CHANJO YA KORONA NI ALAMA YA MNYAMA?
  Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu, libarikiwe, karibu katika kujifunza maandiko. Leo...
Par PROSPER HABONA 2021-08-24 02:14:52 0 8KB
UCHUMBA KIBIBLIA
HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA NDOA.
Andiko la Msingi ni Mithali 5:1-20. Mungu ndiye aliyewaumba mtu mume na mtu mke, akawaweka...
Par GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:16:45 0 9KB
JOSHUA
Verse by verse explanation of Joshua 13
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 29 questions at the...
Par THE HOLY BIBLE 2022-01-25 08:09:48 0 6KB
OTHERS
YESU AMEKUBALI KUITWA MUNGU
“Wahubiri wa injili” wa Kiislamu huwa wanapinga kuwa Yesu ni Mungu na unapowakatalia...
Par MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-25 11:33:29 0 6KB