-
15 Entradas
-
2 Fotos
-
0 Videos
-
Vive en Dar es Salaam
-
De Dar es Salaam
-
Male
-
seguida por 26 people
Actualizaciones Recientes
-
Utukufu wa Mungu wetu una utakatifu mtatu.. Kwaiyo nauvuka mwaka kwa kishindoUtukufu wa Mungu wetu una utakatifu mtatu.. Kwaiyo nauvuka mwaka kwa kishindo🏃🏃4 Commentarios 0 Acciones 1K Views 0 Vista previa
5
Please log in to like, share and comment! -
AM COMING BACK MUTU YA. YESUAM COMING BACK MUTU YA. YESU2 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa2
-
https://m.youtube.com/watch?v=Q_sNmC7TmVY
1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
-
Mathayo 5:8-12
8.Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu.9 Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa MUNGU.10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyo waudhi manabii waliokuwa kabla yenu.Mathayo 5:8-12 8.Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu.9 Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa MUNGU.10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyo waudhi manabii waliokuwa kabla yenu.1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
2
-
Luka 15:11-14 1.Akasema, mtu mmoja akuwa na watoto wawili;.12.yule mdogo akamwambia babaye,nipe sehemu ya mali inayoniangukia.Akawagawia vitu vyake. 13.Hata baada ya siku si nyingi,yule mdogo akakusanya vyote,akasafiri kwenda nchi ya mbali;akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.14.Alipokuwa amekwisha tumia vyote,njaa kuu ilingia nchi ile yeye naye akaanza kuhitaji.Luka 15:11-14 1.Akasema, mtu mmoja akuwa na watoto wawili;.12.yule mdogo akamwambia babaye,nipe sehemu ya mali inayoniangukia.Akawagawia vitu vyake. 13.Hata baada ya siku si nyingi,yule mdogo akakusanya vyote,akasafiri kwenda nchi ya mbali;akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.14.Alipokuwa amekwisha tumia vyote,njaa kuu ilingia nchi ile yeye naye akaanza kuhitaji.1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
2
-
NENO LA LEO zabur 23:1-3 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitopungukiwa na kitu. 2 ktk malisho ya majani mabichi hunilaza,kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza ktk njia za haki kwa ajili ya jina lake.NENO LA LEO zabur 23:1-3 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitopungukiwa na kitu. 2 ktk malisho ya majani mabichi hunilaza,kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza ktk njia za haki kwa ajili ya jina lake.1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
-
NENO LA LEO WAFILIPI 2:3 Msitende Neno Lolote Kwa Kushindana Wala Kwa Majivuno; Bali Kwa Unyenyekevu, Kila Mtu Na Amhesabu Mwenziwe Kuwa Bora Kuliko Nafsi Yake.
AMENNENO LA LEO WAFILIPI 2:3 Msitende Neno Lolote Kwa Kushindana Wala Kwa Majivuno; Bali Kwa Unyenyekevu, Kila Mtu Na Amhesabu Mwenziwe Kuwa Bora Kuliko Nafsi Yake. AMEN1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
-
NENO LA LEO,,,
1 Wakorintho 15:20-22
Lakini Sasa Kristo Amefufuka Katika Wafu, Limbuko Lao Waliolala,21 Maana Kwa Kuwa Mauti Ililetwa Na Mtu, Kadhalika Na Kiyama Ya Wafu Ililetwa Na Mtu, 22 Kwa Kuwa Kama Katika Adamu Wote Wanakufa, Kadhalika Na Katika Katika Kristo Wote Watahuishwa,
AMENNENO LA LEO,,, 1 Wakorintho 15:20-22 Lakini Sasa Kristo Amefufuka Katika Wafu, Limbuko Lao Waliolala,21 Maana Kwa Kuwa Mauti Ililetwa Na Mtu, Kadhalika Na Kiyama Ya Wafu Ililetwa Na Mtu, 22 Kwa Kuwa Kama Katika Adamu Wote Wanakufa, Kadhalika Na Katika Katika Kristo Wote Watahuishwa, AMEN1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
-
1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
4
-
TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
3
Quizás te interese…