Hivi Karibuni
  • Utukufu wa Mungu wetu una utakatifu mtatu.. Kwaiyo nauvuka mwaka kwa kishindo
    Utukufu wa Mungu wetu una utakatifu mtatu.. Kwaiyo nauvuka mwaka kwa kishindo🏃🏃
    Like
    Love
    Wow
    5
    4 Maoni 0 Shiriki 957 Mitazamo 0 Reviews
  • AM COMING BACK MUTU YA. YESU
    AM COMING BACK MUTU YA. YESU
    Like
    2
    2 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
  • https://m.youtube.com/watch?v=Q_sNmC7TmVY
    https://m.youtube.com/watch?v=Q_sNmC7TmVY
    Love
    1
    1 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
  • Mathayo 5:8-12

    8.Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu.9 Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa MUNGU.10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyo waudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
    Mathayo 5:8-12 8.Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu.9 Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa MUNGU.10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyo waudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
    Like
    Love
    2
    1 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
  • Luka 15:11-14 1.Akasema, mtu mmoja akuwa na watoto wawili;.12.yule mdogo akamwambia babaye,nipe sehemu ya mali inayoniangukia.Akawagawia vitu vyake. 13.Hata baada ya siku si nyingi,yule mdogo akakusanya vyote,akasafiri kwenda nchi ya mbali;akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.14.Alipokuwa amekwisha tumia vyote,njaa kuu ilingia nchi ile yeye naye akaanza kuhitaji.
    Luka 15:11-14 1.Akasema, mtu mmoja akuwa na watoto wawili;.12.yule mdogo akamwambia babaye,nipe sehemu ya mali inayoniangukia.Akawagawia vitu vyake. 13.Hata baada ya siku si nyingi,yule mdogo akakusanya vyote,akasafiri kwenda nchi ya mbali;akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.14.Alipokuwa amekwisha tumia vyote,njaa kuu ilingia nchi ile yeye naye akaanza kuhitaji.
    Like
    Love
    2
    1 Maoni 0 Shiriki 2K Mitazamo 0 Reviews
  • NENO LA LEO zabur 23:1-3 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitopungukiwa na kitu. 2 ktk malisho ya majani mabichi hunilaza,kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza ktk njia za haki kwa ajili ya jina lake.
    NENO LA LEO zabur 23:1-3 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitopungukiwa na kitu. 2 ktk malisho ya majani mabichi hunilaza,kando ya maji ya utulivu huniongoza. 3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza ktk njia za haki kwa ajili ya jina lake.
    Love
    1
    1 Maoni 0 Shiriki 2K Mitazamo 0 Reviews
  • NENO LA LEO WAFILIPI 2:3 Msitende Neno Lolote Kwa Kushindana Wala Kwa Majivuno; Bali Kwa Unyenyekevu, Kila Mtu Na Amhesabu Mwenziwe Kuwa Bora Kuliko Nafsi Yake.
    AMEN
    NENO LA LEO WAFILIPI 2:3 Msitende Neno Lolote Kwa Kushindana Wala Kwa Majivuno; Bali Kwa Unyenyekevu, Kila Mtu Na Amhesabu Mwenziwe Kuwa Bora Kuliko Nafsi Yake. AMEN
    Love
    1
    1 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
  • NENO LA LEO,,,
    1 Wakorintho 15:20-22
    Lakini Sasa Kristo Amefufuka Katika Wafu, Limbuko Lao Waliolala,21 Maana Kwa Kuwa Mauti Ililetwa Na Mtu, Kadhalika Na Kiyama Ya Wafu Ililetwa Na Mtu, 22 Kwa Kuwa Kama Katika Adamu Wote Wanakufa, Kadhalika Na Katika Katika Kristo Wote Watahuishwa,
    AMEN
    NENO LA LEO,,, 1 Wakorintho 15:20-22 Lakini Sasa Kristo Amefufuka Katika Wafu, Limbuko Lao Waliolala,21 Maana Kwa Kuwa Mauti Ililetwa Na Mtu, Kadhalika Na Kiyama Ya Wafu Ililetwa Na Mtu, 22 Kwa Kuwa Kama Katika Adamu Wote Wanakufa, Kadhalika Na Katika Katika Kristo Wote Watahuishwa, AMEN
    Love
    1
    1 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
  • Like
    Love
    4
    1 Maoni 0 Shiriki 966 Mitazamo 0 Reviews
  • TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.
    TAFAKARI YA LEO. Torati 11:13-14. Tena itakuwa mtakaposikiza kwa bidii maagizo yangu niwaagizayo leo, kwa kumpenda BWANA MUNGU wenu, na kumtumikia kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. 14. Ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako na divai yako na mafuta yako.
    Like
    Love
    3
    0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
Hadithi zaidi