Actualizaciones Recientes
-
Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.2 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
Please log in to like, share and comment! -
Nawatakia baraka za Bwana wapendwaNawatakia baraka za Bwana wapendwa6 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa2
-
The time to repent is now.The time to repent is now.0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
2
-
Baraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. AmenBaraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. Amen0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
-
Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa1
-
Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.1 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa2
-
https://m.youtube.com/watch?v=NUtnTMgezxk
3 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
4
-
Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:11Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:112 Commentarios 0 Acciones 3K Views 0 Vista previa
5
-
Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 80 0 Vista previa1
-
Suzan John compartido PROSPER HABONA audioINJILI KWA MATAIFA YOTE2022-01-19 04:22:24 - Translate -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Commentarios 1 Acciones 2K Views 80 0 Vista previa
Quizás te interese…