Hivi Karibuni
-
Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.Tafadhali ingia kwenye akaunti ili kupenda, kushiriki na kutoa maoni!
-
Nawatakia baraka za Bwana wapendwaNawatakia baraka za Bwana wapendwa
-
The time to repent is now.The time to repent is now.
-
Baraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. AmenBaraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. Amen0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
-
Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.
-
Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.
-
https://m.youtube.com/watch?v=NUtnTMgezxk
-
Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:11Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:11
-
Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
-
Suzan John alishiriki chapisho la PROSPER HABONA ambalo ni audio2022-01-19 04:22:24 - Tafsiri -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Maoni 1 Shiriki 2K Mitazamo 80 0 Reviews
Hadithi zaidi