Πρόσφατες ενημερώσεις
-
Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.Nawapenda nyote. Mbarikiwe na Kristo Yesu.Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
-
Nawatakia baraka za Bwana wapendwaNawatakia baraka za Bwana wapendwa
-
The time to repent is now.The time to repent is now.
-
Baraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. AmenBaraka na Amani ya Kristo ziwe nanyi nyote. Amen0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 1χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
-
Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.Bwana Yesu asifiweeee!! Nawatakia mchana mwema nyote.
-
Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.Nawatakia Jumapili njema wapendwa, tuwahi kumfanyia Jehovah ibada ya kweli ili ujumbe huu utimie maishani mwetu.
-
https://m.youtube.com/watch?v=NUtnTMgezxk
-
Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:11Bwana asifiwe wapendwa!! Tuendelee kuwek neno la Mungu ndan ye2 ili tusitende dhambi. Zaburi 119:11
-
Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.PROSPER HABONA2022-01-18 08:52:16 - Μετάφραση -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
-
Suzan John μοιράστηκε PROSPER HABONA 's audio2022-01-19 04:22:24 - Μετάφραση -PROSPER HABONA2022-01-18 08:52:16 - Μετάφραση -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Σχόλια 1 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 80 0 Προεπισκόπηση
και άλλες ιστορίες