Recent Actualizat
-
0 Commentarii 0 Distribuiri 925 Views 0 previzualizareVă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
-
0 Commentarii 0 Distribuiri 920 Views 0 previzualizare
-
0 Commentarii 0 Distribuiri 940 Views 0 previzualizare
-
0 Commentarii 0 Distribuiri 923 Views 0 previzualizare
-
EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA.EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza ahadi ambazo Mungu anatuahidia katika maisha yetu. Sio kwamba kupeleleza ni kubaya, hapana, lakini matokeo ya kufanya hivyo ni kuwa...
-
JE UNA MATUMAINI YA KUPATA TENA KILE ULICHOPOTEZA?JE UNA MATUMAINI YA KUPATA TENA KILE ULICHOPOTEZA? Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu na wa ulimwengu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia yetu. (Zab 119:105). Je unafanya kazi yoyote ya mikono?, ya kujiajiri au kuajiriwa?.. labda una shamba, au mifugo, au biashara, ambayo katika hiyo unategemea kukuingizia...
-
-
Mai multe povesti