MAPISHI MBALIMBALI
BIRIANI
VITU VINAVYOHITAJIKA:-
Mafuta ya kula
Nyama kilo 1
Vitunguu maji kilo 1
Viazi mviringo nusu kilo (1/2kg)
Vitunguu saumu robo kilo (1/ kg) gawa mara 2
Tangawizi kipande kimoja (1) kikubwa
Maziwa mtindi paketi 1 ndogo
Papai kipande kimoja 1 kidogo, na kiwe kimeiva kiasi kisiive sana
Nyanya nusu kilo (1/2 kg)
Ndimu robo (1/4) kikombe (ya kukamua)
Nanaa kifungu kimoja (1)
Kotimiri...