I am the daughter of JESUS, and my greatest wish is to bring many souls come to JESUS.
Atualizações Recentes
-
Bwana Yesu asifiwe Neema!!Bwana Yesu asifiwe Neema!!0 Comentários 0 Compartilhamentos 381 Visualizações 0 AnteriorFaça Login para curtir, compartilhar e comentar!
-
JE UNA SIFA ZA MKE MWEMA?
http://basaministry.blogspot.com/2016/04/mambo-ya-mke-mwema-kwa-mumewe.html?m=1JE UNA SIFA ZA MKE MWEMA? http://basaministry.blogspot.com/2016/04/mambo-ya-mke-mwema-kwa-mumewe.html?m=1BASAMINISTRY.BLOGSPOT.COMMAMBO YA MKE MWEMA KWA MUMEWELeo tujifunze namna ya mke mwema anapaswa kuwa kwa mume wake! (kuwa mwanamke wa kiroho,) hii inabeba mambo yafuatayo: 1. kuwa mnyenyeke... -
How to Change WordPress Logo in Login Page?Updated on Sep 10, 2020 Posted by Editorial Staff Website Building, WordPress No Comments You can login to any WordPress website by adding /wp-admin/ or /wp-login.php suffix to the website URL. WordPress login page is one of the important page anyone needs to open first in order to login to a website. By default it will show a...0 Comentários 0 Compartilhamentos 8K Visualizações 0 Anterior
-
Bwana Yesu asifiwe Rebecca!Bwana Yesu asifiwe Rebecca!
-
Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu, hivyo ni muhimu pia kuitunza kwa kunipatia mlo kamili unaofaa. Mwili ukikosa afya imara, itaathiri pia Roho yako maana haitakuwa rahisi kwako kuomba na kufunga au hata kuhubiri injili, MUNGU awalinde nyote.Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu, hivyo ni muhimu pia kuitunza kwa kunipatia mlo kamili unaofaa. Mwili ukikosa afya imara, itaathiri pia Roho yako maana haitakuwa rahisi kwako kuomba na kufunga au hata kuhubiri injili, MUNGU awalinde nyote.
-
Je, umeshampa Yesu maisha yako? Dunia na mambo yake yanapita, ujanja ni kutubu na kuishinda maisha ya utakatifu ili tukamwone Mungu. Mbarikiwe nyote.Je, umeshampa Yesu maisha yako? Dunia na mambo yake yanapita, ujanja ni kutubu na kuishinda maisha ya utakatifu ili tukamwone Mungu. Mbarikiwe nyote.
-
IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.
-
It's time to win many souls to JESUS, so you who supposed to be the harvester, you must stop sinning and start winning souls today. Be blessed all.It's time to win many souls to JESUS, so you who supposed to be the harvester, you must stop sinning and start winning souls today. Be blessed all.
-
-
Mais Stories