0 Reacties
0 aandelen
6K Views
0 voorbeeld
Zoeken
Ontdek nieuwe mensen, nieuwe verbindingen te maken en nieuwe vrienden maken
-
Please log in to like, share and comment!
-
KIASI NI NINI KATIKA UKRISTO?Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda tisa (9), ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, KIASI; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria”. Ikiwa na...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
MUHAMMAD ALIKUWA NA DHAMBI KUBWA KIASI CHA KUOMBA MSAMAHA MARA MIA KWA SIKUDhambi kubwa Katika "Sahih Muslim, Kitabu 35, 6522 Idadi" inasema kwamba Muhammad alikuwa mwenye dhambi kubwa ambaye aliomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mara mia kila siku: "Al-Agharr al-Muzani, ambaye alikuwa mmoja wa (Mtume) wenzake taarifa kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani ilikuwa juu yake) alisema: Kuna (wakati mwingine) aina ya kivuli juu ya moyo wangu, na mimi kutafuta...0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Reacties 0 aandelen 3K Views 0 voorbeeld
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Reacties 0 aandelen 7K Views 0 voorbeeld
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Reacties 0 aandelen 8K Views 0 voorbeeld
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU0 Reacties 0 aandelen 12K Views 0 voorbeeld
2
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI0 Reacties 0 aandelen 11K Views 0 voorbeeld2
-
KONA YA USHAURIVITU MUHIMU AMBAVYO KILA MSHAURI ANATAKIWA KUVIJUA ILI AWE MSHAURI MZURI.2 Reacties 0 aandelen 7K Views 0 voorbeeld3
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Reacties 0 aandelen 9K Views 0 voorbeeld
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai2 Reacties 0 aandelen 18K Views 0 voorbeeld4
-
MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO.MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO1 Reacties 0 aandelen 15K Views 0 voorbeeld
3
-
NI NINI KITAKACHOTUTENGA NA UPENDO YESU KRISTO?NI NINI KITAKACHOTUTENGA NA UPENDO YESU KRISTO?WARUMI 8:35-391 Reacties 0 aandelen 16K Views 0 voorbeeld
3
Zoekresultaten
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].