
Buscar
Descubre nuevas personas, crear nuevas conexiones y hacer nuevos amigos
-
Please log in to like, share and comment!
-
Je! Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi?SWALI : Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi? JIBU: Tukisoma; Mathayo 12:25-32 ” Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama. 26 Na Shetani akimtoa Shetani,...0 Commentarios 0 Acciones 6K Views 0 Vista previa
-
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya Kweli kama alivyo ahidiwa na Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu. Mara nyingi Waislam wanauliza, "Roho ya Kweli ni nani ambaye Yesu alimuhadi katika Yohana 16 aya ya 12 mpaka 14. Nimekuwa nikiwauliza Waislam, hivi wao wanafikiri huyu Roho wa Kweli ni nani? Na wakanijibu kuwa huyo Roho wa Kweli...0 Commentarios 0 Acciones 6K Views 0 Vista previa
-
JIFUNZE KUENENDA KWA ROHO ILI USIMHUZUNISHE ROHO MTAKATIFUShalom, hakuna namna mwamini anaweza kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani bila kuenenda au kuongozwa na Roho Mtakatifu kwani yeye ndiye aliyepewa jukumu la kutufundisha na kutuonyesha njia itupasayo kuiendea. Hivyo basi suala la kujifunza kuenenda kwa Roho ni la LAZIMA kwa kila mwamini ili aishi maisha aliyokusudiwa awapo duaniani na kuepuka matokeo ya kumhuzunisha Roho...0 Commentarios 0 Acciones 6K Views 0 Vista previa
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa Roho Mtakatifu? Wasaidie ili wapate ujasiri wa kuwaombea watu wangu ili wapokee Roho Mtakatifu hii ni zawadi ya hali ya juu niliyowaahidia watu wangu lakini inakuwa kama Historia unadhani ni kwa nini? Kamote! Ahaa ni kwa sababu wengi wanajifikiri kuwa kuna watu maalumu sana wanaopaswa kufanya maombezi...0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Commentarios 0 Acciones 9K Views 0 Vista previa
-
KWA NAMNA GANI MTU ANAWEZA KUMZIMISHA ROHO MTAKATIFU?Roho Mtakatifu ni Mungu, mwenye nguvu zote, maarifa yote, anayepatikana kila mahali. Yeye pia anayo nafsi na kwa hiari yake ameamua kuishi ndani ya mwili wa mwanadamu kwa kuzingatia mgawanyo wa majukumu waliyokubaliana yaani nafsi ya Mungu Baba, Mungu Mwana(Yesu) na Mungu Roho Mtakatifu. Kazi/lengo kubwa la ujio wake ni kuwa Msaidizi wa mwanadamu kwenye ulimwengu huu wa...2 Commentarios 0 Acciones 5K Views 0 Vista previa
-
KWA NAMNA GANI ROHO MTAKATIFU NI MSAIDIZI?Yohana 14:16-17‘Nami nitamwomba baba, naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata akae milele; ndiye roho wa kweli amabye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui bali ninyi mnamtambua , maana anakaa kwenu na atakuwa ndani yenu.Kabla Bwana wetu Yesu hajapaa kwenda mbinguni aliyasema maneno hayo hapo juu akiwaeleza kwamba si muda mrefu yeye ataondoka kwa kuwa...0 Commentarios 0 Acciones 5K Views 0 Vista previa
-
MAISHA BAADA YA KUBATIZWA NA ROHO MTAKATIFU.Mtu anapozaliwa mara ya pili kwa kumkaribisha Bwana Yesu ndani ya maisha yake, huingia katika maisha mapya na kutembea katika uongozi wa Mungu aliye hai. Mtu huyu aliyezaliwa mara ya pili anapofikia mahali pa kukutana na Nafsi ya tatu ya Mungu (Roho Mtakatifu) ana kwa ana katika kipimo cha kufurika (tele), huingia katika ufunuo mpya na maisha mapya ya kushuhudia uthihirisho wa nguvu za Mungu...0 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
-
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentarios 0 Acciones 6K Views 0 Vista previa
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI
Resultados de la búsqueda
Patrocinados
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].