0 Reacties
0 aandelen
6K Views
0 voorbeeld
Zoeken
Ontdek nieuwe mensen, nieuwe verbindingen te maken en nieuwe vrienden maken
-
Please log in to like, share and comment!
-
SOMO: HASARA ZA KULIPIZA KISASI – MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGEUsilipize Kisasi! Unasikia? Hata ikiwa umefanyiwa ubaya wa namna gani, Biblia inafundisha na inakusihi usilipize kisasi kwa huyo aliyekufanyia ubaya. Biblia inasema hivi: “Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana” (Warumi 12:19) Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo...2 Reacties 0 aandelen 6K Views 0 voorbeeld
3
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 Reacties 0 aandelen 13K Views 0 voorbeeld3
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai2 Reacties 0 aandelen 18K Views 0 voorbeeld4
-
TAMBUA NAFASI YAKO ULIOITIWANafasi mbili za mkristo katika wokovu0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld2
-
USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-34USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-340 Reacties 0 aandelen 12K Views 0 voorbeeld
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].