0 Commentarios
0 Acciones
5K Views
0 Vista previa
Buscar
Descubre nuevas personas, crear nuevas conexiones y hacer nuevos amigos
-
Please log in to like, share and comment!
-
SOMO: HASARA ZA KULIPIZA KISASI – MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGEUsilipize Kisasi! Unasikia? Hata ikiwa umefanyiwa ubaya wa namna gani, Biblia inafundisha na inakusihi usilipize kisasi kwa huyo aliyekufanyia ubaya. Biblia inasema hivi: “Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana” (Warumi 12:19) Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo...
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai
-
TAMBUA NAFASI YAKO ULIOITIWANafasi mbili za mkristo katika wokovu
-
USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-34USIUZE URIDHI WAKO ULIOKABIDHIWA KWA GHARAMA KUBWA MWANZO 25:27-340 Commentarios 0 Acciones 12K Views 0 Vista previa
Patrocinados
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].