speldde Bericht
ZIJARIBU HIZO ROHO! JE NI ROHO ZA MUNGU WA KWELI AU ZA mungu WA UONGO?
BWANA YESU ASIFIWE, YESU wa Nazareti aliye hai. 1 Yohana 4: 1-3 “ 1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na MUNGU; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 2 Katika hili mwamjua Roho wa MUNGU; kila roho ikiriyo kwamba YESU KRISTO amekuja katika mwili yatokana na MUNGU. 3 Na kila roho isiyomkiri YESU haitokani...
0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld
Actueel
Meer blogs