MBINGUNI, PEPONI, KUZIMU NA JEHANNAM NI WAPI?
Mpendwa mmoja aliniuliza maswali yafuatayo ambayo nimeona ni muhimu niyajibu kama Makala fupi kwa ajili hata ya faida ya watu wengine wenye maswali kama haya: Swali la 1: Hivi watu wakifa, roho zao zinakuwa wapi hasa? Swali la 2: Roho hizo zinakuwa katika hali gani hasa?   WATU WAKIFA, ROHO ZAO ZINAKUWA WAPI? Biblia inasema kuhusu Bwana Yesu kuwa: Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno,...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior