YESU ANASEMA: MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA!
Leo nitajibu haya madai ya Upanga. Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini wamekuwa na tabia ya kutumia aya YA UPANGA iliyopo katika Mathayo 10: 34 inayo sema ''MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA! Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu alikuja kuleta UPANGA na si Habari Njema kama tufundishavyo sisi Wakristo. Kwa kuwa Waislam kazi...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior