Sadaka inayomgusa Mungu
Nianze kwa kuwashukuru na kuwapongeza wasomaji wa makala hii, najua kuna faida nyingi za kiroho, kihuduma na kimwili mnaendelea kuzipata kutokana na somo hili zuri tunaloendelea kujifunza. Nimekuwa nikipokea simu kutoka mikoa mbalimbali za watu wanaofaidika na somo hili la Sadaka inayomgusa Mungu, nataka nikuhakikishie tena kwamba, ukimtolea Mungu kwa uaminifu na moyo wako ukawa safi mbele...
Love
1
0 Yorumlar 0 hisse senetleri 8K Views 0 önizleme