MASWALI NA MAJIBU KUHUSU DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU
Kumekuwepo na mijadala mingi kila mahali na pia kumewepo na maoni mengi ya watu na mawao tofauti tofauti wanayotoa watu kuelezea kuhusu hii DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU.Kwa leo sitazama kutoa ufahamu wa ndani zaidi kuelezea moja kwa moja kuhusu dhambi hii ila nitatumia mfumo wa maswali na majibu kuweza kuelezea kuhusu dhambi hii.IKiwa utahitaji kupata maelezo ya kina na kichambuzi...
Love
1
0 Reacties 0 aandelen 6K Views 0 voorbeeld