JE CHANJO YA KORONA NI ALAMA YA MNYAMA?
  Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu, libarikiwe, karibu katika kujifunza maandiko. Leo tutajifunza swali la msingi na la muhimu, linalozunguka katika vichwa vya watu wengi, walio wakristo na wasio wa kristo, na swali lenyewe ndio hili> Je chanjo ya Korona/corona ndio chapa ya mnyama yenyewe au ni kitu kingine? Ili kupata jibu la swali hili vizuri, ni vyema kwanza kujua maana ya chapa...
Like
Love
2
0 Commentarios 1 Acciones 7K Views 0 Vista previa