ETI ALLAH AMEKUBALI KUTOA USHAIDI KWA VIUMBE VYAKE?
Je, nani atakuwa Hakimu wakati Allah anatoa Ushaidi?NDUGU WASOMAJI, Hivi Allah anaweza kuwa shaidi wakati yeye ndie anadai kuwa alitoa Utume kwa Muhammad? Hivi Mungu anaweza kwenda kutoa Ushaidi kwa viumbe vyake? Nani atakuwa Hakimu wa hiyo Kesi?Katika hii aya hapa chini, mhukumiwa ni Allah aliyedai katoa Utume kwa Muhammad, kivipi na tokea lini Mhukumiwa akawa shaidi katika Kesi yake ya...
0 Reacties 0 aandelen 5K Views 0 voorbeeld