BWANA YESU ASIFIWE. YESU WA NAZARETI aliye hai, tena anawapenda watu wote wabarikiwe kupitia njia ya sadaka na siyo watu waibiwe sadaka zao wakifikiri watabarikiwa kumbe wameibiwa na baadhi ya watumishi ambao ni wanadamu kama wewe tena pasipokujua wewe muumini ila mtumishi anakuwa anajua kabisa yeye ni mwizi wa pesa za watu na anatumia jina la YESU kupatia pesa.
Katika kazi ya YESU aliponiita...