JINSI SADAKA ZA WANA WA MUNGU ZINAVYOIBIWA WAKIFIKIRI WANAMTOLEA MUNGU NA KUMBE WAMEIBIWA PESA ZAO NA WATUMISHI.
BWANA YESU ASIFIWE. YESU WA NAZARETI aliye hai, tena anawapenda watu wote wabarikiwe kupitia njia ya sadaka na siyo watu waibiwe sadaka zao wakifikiri watabarikiwa kumbe wameibiwa na baadhi ya watumishi ambao ni wanadamu kama wewe tena pasipokujua wewe muumini ila mtumishi anakuwa anajua kabisa yeye ni mwizi wa pesa za watu na anatumia jina la YESU kupatia pesa. Katika kazi ya YESU aliponiita...
0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen