ZINGATIA YAFUATAYO ILI KUANZISHA MAHUSIANO SAHIHI YANAYOFIKIA MALENGO
UTANGULIZIMahusiano sahihi ni mahusiano ya namna gani?Mahusiano sahihi ni mahusiano yale ambapo wewe unaingia kwenye mahusiano na mtu unayempenda kweli naye anakupenda kweli na yanayozingatia utimilifu wa makusudi yake ya kuanzishwa.Mahusiano sahihi ya uchumba hadi ndoa ni yale yanayoanzishwa kwa kusudi la kuoana huku wahusika wakiwa wanapendana kweli, mwanaume akimpenda mwanamke na mwanamke...
0 Kommentare 0 Geteilt 8KB Ansichten 0 Bewertungen