USIKUBALI USHAWISHI WA DAKIKA 1 WA SHETANI
BWANA ASIFIWE, unaweza kupakua (download) somo hili kwa kubonyeza hapa. Au unaweza ukaendelea kulisoma hapahapa. Sasa tuanze somo letu rasmi.   Luka 4:5-6 " 5 Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu KWA DAKIKA MOJA. 6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo". Hilo ni...
0 Комментарии 0 Поделились 6Кб Просмотры 0 предпросмотр