AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE
​Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa.     ​Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao...
0 Comentários 0 Compartilhamentos 227 Visualizações 0 Anterior