AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE
Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa.
Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao...