Je! ni sahihi kuning’iniza picha nyumbani mwako kama ya Yesu?
Swali linaendelea…maana imeandikwa kutoka 20:4 “Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. “ Sasa naomba kufahamu kufanya hivyo ni makosa? JIBU: kwa kulijibu hili swali tumalizie kusoma mstari huo.. Kutoka 20:4-5″ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa...
0 Comments 1 Shares 5K Views 0 Reviews