UBATIZO WA MAJI MENGI.
Na Mch.Madumla ( wa katikati mbele) Bwana Yesu asifiwe… Kwa ufupi; Miaka fulani nilipata neema ya kwenda Israeli;katika mwaka wa kwanza wa kwenda huko nilitamani kufika eneo moja liitwalo “mto Yordani” kwa lengo moja tu la kubatizwa kwa maji mengi katika eneo hilo kama vile alivyobatizwa Yesu mahali hapo. Ni kweli Bwana akatufanikisha kufika hapo,na siku ya...
0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu