UCHUMBA KIBIBLIA
    TUZUNGUMZIE UCHUMBA
    Uchumba ni hatua ya mpito kuelekea kuoana. Watu wawili wa jinsia tofauti wakikubaliana kuishi pamoja kama mume na mke katika siku za usoni huanzisha mahusiano yanayoitwa uchumba. Uchumba si ndoa. Katika uchumba mahusiano ni ya kirafiki yasiyohusisha kujamiiana. Uchumba ni hatua ya msingi ya ndoa. Makosa yakifanyika katika uchumba yanaathiri ndoa. Kwa hiyo ni muhimu kufanya maamuzi kwa makini katika uchumba. Huu ndiyo wakati ambao mtu huweza kudhani vyote ving’aavyo ni dhahabu wakati...
    By GOSPEL PREACHER 2021-12-22 01:49:32 0 6K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    MAMBO YA KUFANYA/KUZINGATIA KATIKA KIPINDI CHA UCHUMBA
    Mpenzi msomaji tunakusalimu kwa jina la Yesu! Baada ya kuwa tumepata maombi ya vijana wengi kutaka kujifunza habari za Uchumba, mke wangu pamoja nami tumeona ni vema tukaandaa somo hili ambalo tunaamini litafanyika msaada kwa vijana wengi ambao wapo kwenye uchumba au wanajiaandaa kuingia katika eneo hili. Hata hivyo somo hili ni pana sana, kwa sasa tumeandika vitu vichache vya msingi, tunaamini kwamba huko mbele tutaandika kitabu chake rasmi. Katika kitabu cha Muhubiri 3:1 Biblia inasema...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:25:47 0 6K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA NDOA.
    Andiko la Msingi ni Mithali 5:1-20. Mungu ndiye aliyewaumba mtu mume na mtu mke, akawaweka bustanini ili wamtumikie. Mungu akamuumba mwanadamu na kumpa viungo mbalimbali katika mwili. Akawapa wanadamu maungo maalumu kwa ajili ya tendo la ndoa na kisha akaliweka tendo la ndoa kuwa takatifu, tena la halali kwa wanandoa tu, tena hasa wale waliounganishwa na yeye. Sasa katika kizazi cha leo tunaona watu wengi hasa vijana ambao bado hawajaoana (kwa maana ya kuwa wanandoa) vijana hao wanafanya...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:16:45 0 9K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    MAMBO YA KUFANYA/KUZINGATIA KATIKA KIPINDI CHA UCHUMBA
    Mpenzi msomaji tunakusalimu kwa jina la Yesu! Baada ya kuwa tumepata maombi ya vijana wengi kutaka kujifunza habari za Uchumba, mke wangu pamoja nami tumeona ni vema tukaandaa somo hili ambalo tunaamini litafanyika msaada kwa vijana wengi ambao wapo kwenye uchumba au wanajiaandaa kuingia katika eneo hili. Hata hivyo somo hili ni pana sana, kwa sasa tumeandika vitu vichache vya msingi, tunaamini kwamba huko mbele tutaandika kitabu chake rasmi. Katika kitabu cha Muhubiri 3:1 Biblia inasema...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:06:12 0 5K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    ATHARI ZA MAHUSIANO YA UCHUMBA YA MUDA MREFU KUPITA KIASI (Miaka 2 au zaidi)
    1. Huweza Kufungua Milango ya uasherati kwa WachumbaInaweza kupelekea kwenye maisha ya uasherati kati yenu kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa na kujiona tayari mmeshazoenana na kujihisi ni kama mke na mume tayari.2. Inaweza kupunguza kasi na kiwango chenu katika mambo ya Mungu.Kukaa sana katika uchumba kupita kiasi kutaweza kushushaa kiwango chenu cha mambo ya kimungu kwasababu mtapeleka nguvu kubwa ya vipaumbele vyenu na...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-08 00:31:44 0 5K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    DALILI ZA MCHUMBA ASIYEKUPENDA, ALIYEKUACHA BILA KUKWAMBIA
    Mahusiano ya uchumba yamekuwa na changamoto nyingi sana zisizoisha.Moja ya changamoto kubwa ambayo haipaswi kuvumiliwa kwa sababu mwisho wake ni maumivu, ni ile ya unayempenda anapoacha kukupenda na akawa hakutaki tena.Siku zote upendo umekusudiwa kuwa wa pande mbili na hasa katika mahusiano ya uchumba hadi ndoa; unapobaki kuwa wa upande mmoja, hilo ni tatizo kubwa sana, wala si dogo.Mpenzi wako ambaye ameacha kukupenda UTAMJUA TU kupitia mambo yafuatayo;1. Ataanza kujiweka...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-07 22:50:19 0 6K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    UCHUMBA NI NINI? NA NDOA NI NINI?
    Shalom, wapendwa,Katika somo letu leo nataka tuangalie vitu hivi viwili, mahusiano ya uchumba na mahusiano ya ndoa. Sifa za mahusiano ya uchumba na sifa za mahusiano ya ndoa. Kwa nini nataka tujifunze somo hili? Kwa sababu siku hizi za leo kumekuwa hakuna tofauti kati ya uchumba na ndoa, hali hii imeingia mpaka makanisani. Inashangaza sana, leo wachumba wanafunga ndoa tayari wakiwa wameishakuwa wanandoa, tena wengine wanasubiri wapate watoto wakiwa bado wachumba eti ndio wafunge ndoa. Lakini...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-06 13:06:36 0 7K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    WACHUMBA 7 WATAKAOSHINDWA
    Kutahadharishwa mabaya ni kutayarishwa kwa mazuri“Ni yale mambo usiyoyatarajia….ambayo unahitaji kuyaangalia   Kabla ya YoteDalili zifuatazo kama zinapatikana katika uchumba wako, basi kuendelea kujiandaa na ndoa hiyo ni kujitayarisha kukutana na “majanga” ya jela la maisha. Lakini usiogope; nasema, usi-panic. Zitambue dalili hizi mapema ili ujue namna ya kusonga mbele au kugeuza njia. Dalili zenyewe zinapatikana kwa wachumba wa aina hii ninayoijadili...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-06 11:03:29 0 5K
    UCHUMBA KIBIBLIA
    KANUNI 10 ZA UCHUMBA WENYE KUFANIKIWA
    KwanzaWewe na mwenzako mnaweza kuwa na sifa nyingi kama wachumba. Huenda mkijitazama na watu wakiwaona, hakuna anayetilia mashaka kwamba mna wasifa na mmekomaa tayari kwa ndoa. Lakini kama dereva yeyote aliye na sifa anavyopaswa kuzingatia sheria za udereva, mnapaswa kuzingatia kanuni za uendeshaji uchumba ili mfanikiwe kusomana kama mnafaana kwa ndoa. Zipo kanuni nyingi, nafasi ni finyu na muda hautoshi. Lakini niruhusu nishiriki nawe kanuni hizi chache zikizo na uzito usiopungua busara na...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-06 10:32:02 0 5K
Maak pagina
Read More
DARASA LA 6
DARASA LA 6
Orodha ya masomo yote ya darasa la 6
By PROSHABO ONLINE SCHOOLS 2021-10-09 10:17:05 0 5K
NDOA KIBIBLIA
MWANAUME UKIKOSA UNYENYEKEVU MKE ATAKUSHINDA
Unyenyekevu ni tabia ya kujishusha na kuvaa kiatu cha aliye chini yako; unavua heshima na utukufu...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-08 00:12:34 3 6K
GENESIS
Verse by verse explanation of Genesis 36
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 20 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-21 09:07:07 0 5K
LEVITICUS
Verse by verse explanation of Leviticus 2
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 63 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-24 08:46:11 0 5K
LEVITICUS
Verse by verse explanation of Leviticus 16
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 58 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-24 10:15:50 0 5K