UONGO WA AYA ZA QURAN KUHUSU UKRISTO KUTOA DHABIHU YA WANYAMA

0
5KB

"Dhabihu" hufafanuliwa kama sadaka ya kitu cha thamani kwa ajili ya kusudi au sababu. Kufanya upatanisho ni kumridhisha mtu au kitu kwa kosa alilifanya.

Quran inadai kuwa kuna Dhabihu za Wanyama kwa Wakristo, huu ni uongo na hakuna kitu kama hicho kwa Wakristo.

Sura 22:34 inasema kwamba ibada za dhabihu za wanyama zimewekwa kwa watu WOTE.

تقول السورة 22:34 أن طقوس التضحية بالحيوان قد تم تعيينها لجميع الناس.
taqul alsuwrat 22:34 'ana tuqus altadhiat bialhayawan qad tama taeyinuha lijamie alnaasi.

Sura 22:34 says that rites of animal sacrifice have been appointed to ALL people.

Hii sio kweli, hakuna sheria kama hizo kwa Wakristo.

“na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.” Waebrania 12:24

Damu ya Abili ilikuwa inanena na ndugu yake afe. Lakini damu ya Yesu ni damu ya agano jipya inanena mema. Damu ya Yesu inene mema katika maisha yako, kwenye kazi, familia, ndoa, biashara yako kwa jina la Yesu.

Ni kwa kukubali damu ya Yesu, iliyomwagika msalabani kwa ondoleo la dhambi, tunaweza kusimama mbele za Mungu tukiwa tumefunikwa na haki ya Kristo (2 Wakorintho 5:21).

1 Wakorintho 10:20-22

20 Sivyo, lakini vitu vile wavitoavyo sadaka wavitoa kwa mashetani, wala si kwa Mungu; nami sipendi ninyi kushirikiana na mashetani. Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mashetani. 21 Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani. 22 Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?

.. Zaburi 126:38 kumbe kuna uwezekano wa watu kutoa kafara kwa mashetani.

Shalom,

Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries

Pesquisar
Categorias
Leia mais
Injili Ya Yesu Kristo
HATARI YA KUPENDA NAFSI
Neno la Uzima kutoka kwa  Askofu Zachary Kakobe        ...
Por GOSPEL PREACHER 2022-01-12 01:42:07 0 6KB
LEVITICUS
Verse by verse explanation of Leviticus 16
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 58 questions at the...
Por THE HOLY BIBLE 2022-01-24 10:15:50 0 6KB
HOLY BIBLE
Jesus: From Genesis to Revelation
The Bible, from cover to cover, answers the question,“Who is this Jesus?” In the...
Por MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 10:45:58 0 7KB
DEUTERONOMY
Verse by verse explanation of Deuteronomy 8
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 21 questions at the...
Por THE HOLY BIBLE 2022-01-25 05:56:32 0 6KB
OTHERS
Kwa Nini Niliacha Uislamu na Kumpokea Yesu?
Mutee'a Al-Fadi alikuwa ni Mwislamu mwenye msimamo mkali wa Wahabbi ambao alisomea kule Saudi...
Por MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-23 09:30:32 0 5KB