MJUE MWIGIZAJI WA FILAMU YA YESU AMBAYE BAADHI YA WATU HUDHANI KWAMBA NI YESU.
Posted 2021-11-19 05:33:52
0
4K

BRIAN DEACON ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa na mkewe huyo binti yao aitwaye Lara Deacon,ndoa yake ya pili alioana na mwanamama Natalie Bloch mnamo mwaka 1998 mpaka sasa wapo kwenye ndoa hiyo.
Zoeken
Categorieën
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Read More
UFUNUO 22
Bwana wetu YESU KRISTO apewe sifa, Karibu katika mfululizo wa mwendelezo wa kitabu cha ufunuo leo...
STANDARD 7
List of all subjects for the standard 7 class
UMETOLEWA MISRI, LAKINI MISRI HAIJAKUTOKA.
Bwana Yesu asifiwe..
Ni mtu wa makamu hivi, ameokoka na kwa kweli anajitahidi kumpenda Mungu....
Verse by verse explanation of Numbers 30
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 17 questions at the...
MTOFAUTISHE NA WENGINE
KWELI KUU: Mwenzi wako wa ndoa hafanani na yeyote yule, anafanana na wewe, na wala halingani...